Mwili wa DMX ukitolewa hospitali New York kwenda kwenye hifadhi ya maiti

I'm going to the same shit like a boy DMX. The drugs are killing me
Don't you give up the fight so easy mkuu! Usijitamkie kabisa kuwa umeshasurrender na kuwa unasubiri the same fate that the boy DMX has faced. Amua kuanzia sasa kuchukua hatua ya kuacha na upambane kweli kweli. Usiisikilize hiyo sauti inayokuambia kuwa umefika a point of no return. You still have a life, get up and fight.
 
I'm going to the same shit like a boy DMX. The drugs are killing me
Anza sasa kutoka huko, najua unaweza, don't give up! Hakuna linaloshindikana ukiweka nia ya dhati mkuu!
 
I'm going to the same shit like a boy DMX. The drugs are killing me
nikwambie kitu man!nothin is impossible..

kama umezoea to do drugs unaweza kuzoea tena bila kutumia..not so fast do it slowly we love u buddy
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…