Mwili wa Marehemu Jaji Harold Nsekela waagwa Dodoma, Rais Magufuli ahudhuria

Siwezi kumsahau abadani huyu jaji Nsekela, alipindisha haki ya mirathi ya baba yetu enzi zile. Tulikosa kila kitu, ila Mungu ni mwema wote tuna maisha yetu mazuri tu.
Poleni. Ilikuwaje kiongozi
 
Siwezi kumsahau abadani huyu jaji Nsekela, alipindisha haki ya mirathi ya baba yetu enzi zile. Tulikosa kila kitu, ila Mungu ni mwema wote tuna maisha yetu mazuri tu.
Aiseee
 
Huyu ndiye alishirikiana na Ndugai kumpokonya ubunge Tundu Lissu. Alisema kuwa Tundu Lissu hajapeleka tatamko la mali zake wakati alikuwa anafahamu kuwa Tundu Lissu hakuwa nchini kwa sababu ya matibabu. Ndugai akamfuta ubunge.
Ndungai mbona hajafa?

Kifo ni kifo tu muwache mzee apumzike pia uache kuwahukumu wengine, mwenye kuhukumu ni Mungu pekee.

Nakushauri pia tafuta clip ya ujumbe wa yule mchungaji aliyekuwa anashusha nondo msibani usikilize pengine unaweza kupona na matatizo yako.

Bwana alitoa na Bwana alitwaa jina la Bwana libarikiwe.
IMG-20201208-WA0006.jpg
 
Siwezi kumsahau abadani huyu jaji Nsekela, alipindisha haki ya mirathi ya baba yetu enzi zile. Tulikosa kila kitu, ila Mungu ni mwema wote tuna maisha yetu mazuri tu.

Ebu dadavua kidogo jinsi alivyopindisha
 
Huyu ndiye alishirikiana na Ndugai kumpokonya ubunge Tundu Lissu. Alisema kuwa Tundu Lissu hajapeleka tatamko la mali zake wakati alikuwa anafahamu kuwa Tundu Lissu hakuwa nchini kwa sababu ya matibabu. Ndugai akamfuta ubunge.

Mungu ampeleke anapostahili.
 
Siwezi kumsahau abadani huyu jaji Nsekela, alipindisha haki ya mirathi ya baba yetu enzi zile. Tulikosa kila kitu, ila Mungu ni mwema wote tuna maisha yetu mazuri tu.
Msamaha mkuu
 
Back
Top Bottom