Mwili wa marehemu Tabia Mwanjelwa wawasili Dar, mazishi kufanyika kesho Kiwira, Mbeya

Mwili wa marehemu Tabia Mwanjelwa wawasili Dar, mazishi kufanyika kesho Kiwira, Mbeya

Siku zote hizo hajazikwa tu. Bado week 1 atimize mwezi mmoja..duh
 
Mjukuu wangu ephen_, hebu nidukulie picha za huyu mwanamuziki Tabia Mwanjelwa. Maana hapa nilipo namfananisha na yule Mwanasiasa Mary Mwanjelwa!
 
Mjukuu wangu ephen_, hebu nidukulie picha za huyu mwanamuziki Tabia Mwanjelwa. Maana hapa nilipo namfananisha na yule Mwanasiasa Mary Mwanjelwa!
Babu! marehemu alikua kisu
1001139108.png
 
Rest well dear.

Nikifia Ulaya nizikeni huko huko, ole wake atakayenirudisha bongo. Acha walau nifufukie Ulaya siku ya ufufuo.
Tushakujua wewe unatokea wapi
Pendeni kwenu kama wa BK na wale wanaotoka kwenye ule mlima mrefu kuliko yote Africa.
Mfanyakazi mwenzangu mama yake Kafia Calfornia walipokuwa watoto wake wengine.Pamoja na uwezo mkubwa kwa wanawe wakaona wazike huko huko ndio kwa mtindo huu ndio maana hamjengagi kwenu mnaogopa kulogwa amkeni nyie
 
Siku zote hizo hajazikwa tu. Bado week 1 atimize mwezi mmoja..duh
Alihifadhiwa huko muda wote kwenye jokofu, process za kutoa maiti huko mlolongo wake mrefu.
Then safari to Bongo, then Mbeya then Kiwira si mchezo.
Hii Mambo ya kusema mi nikifa sijui nikazikwe wapi ni ya ajabu kabisa.
Halafu ukute mtu hana senti moja na anadaiwa.anatoa nadhiri hiyo.
Hapo km si mumewe kusimamia show zingechangishwa ndururu miezi mpk zifike ndo aondoke.
Rip Dada Mkubwa.
 
Back
Top Bottom