Mwili wa Michael Jackson kufukuliwa kaburini kwa uchunguzi

Mwili wa Michael Jackson kufukuliwa kaburini kwa uchunguzi

Hapo wanataka pesa za marehemu tu. Utashangaa imebainika kweli alifanya na victims walipwe fidia
 
unamkutaje na hatia ujampa haki ya kumsikiliza

ivi kama ukimla mtu dna yake hadi ukifa inabaki kwako
Inasemekans hivyo na ndio maana wamama wengine huwa na watoto wenye zaidi ya vinasaba vya baba zaidi ya 1!!!!
 
Mwili wa aliyekuwa mfalme wa pop duniani,Michael Jackson huenda ukafukuliwa toka kaburini kwa uchunguzi kufuatia tuhuma za ulawiti, Mtandao wa Radar online umethibitisha kupitia filamu ya 'Leaving Neverland' imeelezwa kuwa Michael Jackson aliwahi kuwalawiti wavulana zaidi ya30 wenye umri mdogo,lakini watatu tayari wamejitokeza kuzungumza,mmoja anaitwa Wade Robson alithibitisha kwenye mitandao kuwa toka ana umri wa miaka7 hadi alipofika14.

Mwengine ni James Safechunk.Mwili wa mfalme huyo wa pop utafukuliwa ili kupima vipimo vya DNA kwenye mabaki ya sehemu za mwili wake ili kubaini kama kuna ukweli.

Nilikuwa naomba akikutwa na hatia ahukumiwe miaka 30 iwe fundisho kwa marehemu wengine wenye tabia hii.

@ChaliiYaKijengeJuu
Kwa hyo toka akiwa na miaka 14 mpaka leo hizo shahawa za MJ bado ziko mwilini mwa huyo jamaa? Miaka 7 ya kulawitiwa ameshakuwa shoga au la?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana alivyowalawiti akawaambukiza DNA yake? Sijaelewa sayansi iliyopo hapo
 
wazungu kubinuana si kawaida yao sasa wanalalamika nini? halafu kajamaa kanaonesha kamenogewa mshedede.
 
Back
Top Bottom