figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mwili wa mtoto Patrick umefikishwa viwanja vya Leaders kutoka hospitali ya Mwananyamala unaagwa na ndugu, jamaa na marafiki
View attachment 804416
Mkuu,hii ni week ya Muna na Lugola...acha iwe hivyo!Kulikuaa na hajaa gani ya kupelekaa mwili leaders club.... Tanzania bhana
Na picha za viongozi wa Serikali waliofika kutoa salàmu za poleMSISAHAU PICHA ZA WALIOZIMIA HUKU WAMESHIKA VITAMBAA NA MIWANI IKIWA MACHONI
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu,hii ni week ya Muna na Lugola...acha iwe hivyo!
Na picha za viongozi wa Serikali waliofika kutoa salàmu za pole
Mr Peter ana imani sana dah sio kwa msimamo ule alioutoa!
Kweli anajua kiapo cha ndoa na anakisimamia hadi leo.
Wanaume wachache sana wanaweza kuwa vile.
"Patrick is my real son"
"Muna is my real wife"
Wapi team Mange [emoji23]