Mwili wa Mtoto Patrick Peter, umefika Viwanja vya Leaders kuagwa

Mwili wa Mtoto Patrick Peter, umefika Viwanja vya Leaders kuagwa

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Mwili wa mtoto Patrick umefikishwa viwanja vya Leaders kutoka hospitali ya Mwananyamala unaagwa na ndugu, jamaa na marafiki
IMG_20180707_145913.jpeg

Habari zaidi, soma=>TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia
 
Mr Peter ana imani sana dah sio kwa msimamo ule alioutoa!
Kweli anajua kiapo cha ndoa na anakisimamia hadi leo.
Wanaume wachache sana wanaweza kuwa vile.
"Patrick is my real son"
"Muna is my real wife"
Wapi team Mange [emoji23]
 
anajikaza tu kuchapiwa mwanamke na kubambikiwa mtoto si kitu kidogo.

Kwa kifupi ni mume bwege! aliyeimbwa na Bushoke
 
Back
Top Bottom