BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
Mashuhuda wanadai itakuwa jamaa ameshambuliwa na kuuliwa kisha kutupwa eneo hilo.
Sijajua huo mwili ni wan ani hasa lakini nimeshuhudia Jeshi la Polisi wakifanya mchakato wa kuutoa eneo husika.
Sikusogea kuuangalia lakini inadaiwa mwili ulikuwa umeshaanza kuharibika.
Mwenye ndugu yake ambaye amepotea au hajulikani alipo afanye mpango kwenda Polisi kufuatilia japo sijajua ni Polisi wa wapi pia