kwani na wewe umeolewa mpaka uachike?
Haha siku izi wanaume wanaoa kijanja wewe, ingekua kufilisi rahisi kiivo wengi wangekua matajiri....kuna kitu inaitwa Exemption Clause....nenda kahugo upate madini zaidi
Aiseeeee
Mi ukinipiga mara 1 tu basi
Yaani mtupaka anakupiga upo tu
Kwa msio elewa english,na maneno ya kimarekani .....mnakosa elimu kubwa sana ya kigentlemen kutoka kwa huyo msanii hapo juu.