Mwimbaji Chaz Baba nusura amuue mkewe, ampiga na kitu kizito kichwani mpaka mke kuzimia

Mwimbaji Chaz Baba nusura amuue mkewe, ampiga na kitu kizito kichwani mpaka mke kuzimia

Aiseeeee
Mi ukinipiga mara 1 tu basi

Yaani mtupaka anakupiga upo tu
 
Haha siku izi wanaume wanaoa kijanja wewe, ingekua kufilisi rahisi kiivo wengi wangekua matajiri....kuna kitu inaitwa Exemption Clause....nenda kahugo upate madini zaidi

Wanasheria Wenyewe Wanafilisiwa.........This Is A Real Freakin World.....
 
Power of love unapigwa mara zote hizo umekaa tu unasubiri islael akwambie nini? ila chaz ni pasua kichwa kuna ka nick name alikuwa anaitwa wakati yupo twanga eti "kahaba wa bendi" ana dramma nyingi
 
Power of love unapigwa mara zote hizo umekaa tu unasubiri islael akwambie nini? ila chaz ni pasua kichwa kuna ka nick name alikuwa anaitwa wakati yupo twanga eti "kahaba wa bendi" ana dramma nyingi
 
Kwa msio elewa english,na maneno ya kimarekani .....mnakosa elimu kubwa sana ya kigentlemen kutoka kwa huyo msanii hapo juu.

Utafikiri Joe alikuwa anamwimbia mke wa chalz baba! Ye anadundwa mara zote yupo tu ilitakiwa awe ashasepa kitambo pale alipodundwa kwa mara ya kwanza!
 
Back
Top Bottom