TANZIA Mwimbaji kiongozi wa bendi ya Reggae ya Morgan Heritage, Peter 'Peetah' Morgan, amefariki dunia akiwa na miaka 47


Peter Anthony Morgan, muimbaji kiongozi katika Bendi ya Muziki wa Reggae, Morgan Heritage amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 46

Tangazo lililotolewa na familia yake limesema Peter alikata kauli Jumapili Februari 25, 2024 bila kutaja sababu au chanzo cha kifo, ambapo wameomba faragha ya familia katika wakati huu.

Peter au Peetah, aliunda Bendi ya Morgan Heritage na ndugu zake Mwaka 1994, waliwashi kushinda Tuzo ya Grammy (Albamu Bora ya Reggae Mwaka 2016).

Msanii Diamond Platnumz wa Tanzania aliwahi kushirikiana na Morgan Heritage katika nyimbo mbili za Africa na Hallelujah.



=======

Morgan Heritage Lead Singer 'Peetah' Dies Aged 46

Peter Anthony Morgan, the lead singer of the popular reggae band Morgan Heritage has died aged 46 years old, his family announced.

In a statement, the family said that Peter breathed his last on Sunday however not intimating on the cause of death.

The statement described him as a husband, father, son and brother.

"We ask for your continued prayers as we go through this process. We also ask that you also respect our privacy during this time of healing," read the statement in part.

Peter, well known as Peetah, formed Morgan Heritage with his siblings in 1994, and the band won a Grammy for best reggae album in 2016 for “Strictly Roots.”
 
Ulimwengu wa Reggae umepata pigo kubwa wallahi. Kama ninamuona bro akiaga kundi na wimbo wake "Bye bye" zama zile. R.I.P
 
Rest in peace peter

Nikiwa kama mpenzi wa reggae
Na shabiki wa Morgan heritage nmeguswa sana,na pia nakumbuka
Ile show yenu mliyopiga nairobi kenya
2015 na nilikuwepo ilikuwa bonge la show,vibe la maana

Ova
 
R.I.P. moja ya show kali kabisa ni Morgan Hertitage live in amsterdam. Jamaa alikuwa na vocal kali sanaaaa!! Nimehuzunika sana leo
 
Rest in peace peter

Nikiwa kama mpenzi wa reggae
Na shabiki wa Morgan heritage nmeguswa sana,na pia nakumbuka
Ile show yenu mliyopiga nairobi kenya
2015 na nilikuwepo ilikuwa bonge la show,vibe la maana

Ova
Hapo kwenye album ya Full circle, wimbo tell me how come!!
 
Rest in peace peter

Nikiwa kama mpenzi wa reggae
Na shabiki wa Morgan heritage nmeguswa sana,na pia nakumbuka
Ile show yenu mliyopiga nairobi kenya
2015 na nilikuwepo ilikuwa bonge la show,vibe la maana

Ova
Man still a man, im so lost, jamaa ameenda na sauti yake. Daaah leo ni siku ya huzuni sana kwangu, mnooooo!!!
 
Man still a man, im so lost, jamaa ameenda na sauti yake. Daaah leo ni siku ya huzuni sana kwangu, mnooooo!!!
Wapenzi wa reggae tumeguswa na msiba wake

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…