Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Aah kumbeBaada ya kuumia chameleon aliimba nyimbo inaitwa
"Abayuda "
Akimaanisha wanafiki na wachawi tunaishi nao na kula nao
Abayuda tulika nabo mara tuseka nabo
Nasikia ilivunjinka miguu katika sleepwalking yeye alidai alipigwa juju
Basi mimi sikufauatilia tena ila nilisikia tu alianguka kwenye usingizi na ni kawaida yake
Aisee waafrika kila kitu ni juju tu