Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Aah kumbeBaada ya kuumia chameleon aliimba nyimbo inaitwa
"Abayuda "
Akimaanisha wanafiki na wachawi tunaishi nao na kula nao
Abayuda tulika nabo mara tuseka nabo
Nasikia ilivunjinka miguu katika sleepwalking yeye alidai alipigwa juju
Aah kumbe
Basi mimi sikufauatilia tena ila nilisikia tu alianguka kwenye usingizi na ni kawaida yake
Aisee waafrika kila kitu ni juju tu
Kweli ilikuwa kitamboIlikuwa zamani kidogo
Alikuwa anatembelea wheelchair
Akuishia hapo akaachia na nyimbo inaitwa basima ogenze
Akimaanisha binadamu watakusifu ukiondoka.
Ebirungi tubikora banadamu basima ogenze
Hapa sio kitobo tena ila wamemuua? Ila yule wa DIT ni kitobo ndio kimemuua?Wabongo sasa .. wamemuua tu huyo...
Wenngne ngoma wengne wwametoka chamabandaWengine wametoka mwabayanda wengine wametoka nyanchenche wengine nyampande wengine wametoka buchosa ndan ndan
AiseeWenngne ngoma wengne wwametoka chamabanda
Umeona hali yake ya sasa alivyo inasikitisha sana amekuwa mleviKweli ilikuwa kitambo
Ila anaimba jamaa nilikuwa namkubali sana
Sijamuona kitamboUmeona hali yake ya sasa alivyo inasikitisha sana amekuwa mlevi
Ashakuwa hivyo amedhoofu kweli alilazwa juzi kati hapaSijamuona kitambo
Ngoja nim google
Ila maisha haya ni fumbo huwezi kujua mtu atakuwaje kwa mitihani tunayopitia ila ulevi sio suluhu hata ukipata masaibu gani
Nimeangalia clip zake kwa kweli inahuzunisha sanaAshakuwa hivyo amedhoofu kweli alilazwa juzi kati hapa