barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,880
Huyo Linah kupigwa pvc pipe kapenda mwenyewe. Ni miongoni mwa Msanii asiyejiheshimu huyo. Kuanzia mavazi na kuzurura kila kiwanja akidhani ndio sifa.
Mkuu ni jina tu #bologna ?au ni kweli mitaa ya Palermo,Catania hadi Agrigento umekatiza?mana ndo mitaa yangu


