Mwimbaji Richi Mavoko Aingia Katika listi ya Mastaa wa Kiume Waliojichubua Ngozi na Kuwa waupe

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kabla na Baada[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
List ya Masuper star wa Kiume Bongo waliojibadilisha ngozi kwa kutumia mkorogo ama madawa inazidi kunona baada ya Msanii Richi Mavoko Kusemekana naye amejichumbua ngozi kwani muonekano wake wa kabla na sasa ni tofauti sana kama inavyoonekana hapo juu kwenye picha....

Picha hiyo imewekwa instagram na mdau mmoja na hivi ndiyo watu walivyoichukulia:

shalifanuhu
Wao umenaga

ugly73
Lakini napenda SAUTI yake .. Sasa sijui bado ipo AU imekua kama YA Recho kizunguzungu... Shuti kuimba kwa

anney09kavishe
Hata wanaume wanahangaika na mkorogo jaman lol

amosemma
Ha ha ! Natural ndio mpango mwanaume hvo aibuu.

mayna_pemba
Wakaka wanataka kufanana na dada zao
 
Kwakua umeweka picha, simuiti warumi kuthibitisha
 
Last edited by a moderator:
Hii generation aycee..! Inatumia nguvu nyingi mnoo kuredifine manhood!
MUNGU awasamehe bure..
 
Jaman jaman au ameanza kale kamchezo ka sir Elton John????
 
mi nahisi ni hizi 360 za sikuhizi, afu pesa ni sabuni ya roho ukizipata utatakata tu hahaaaahaa
 
mmeona hana time na scandal mmeamua kumtafutia kwa nguvu, sidhani kama anajichubua, hizo ni camera tu nyingine inakutoa mweusi nyingine inakung'arisha, pia inategemea na eneo ilipopigiwa picha(mwanga)
 
mmeona hana time na scandal mmeamua kumtafutia kwa nguvu, sidhani kama anajichubua, hizo ni camera tu nyingine inakutoa mweusi nyingine inakung'arisha, pia inategemea na eneo ilipopigiwa picha(mwanga)

Ndio, tumeamua kumtafutia scandal unatakaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…