Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Tukizidiwa tunayamwaga humu humu, watukamatege tu, kwani jela wanakaa mbuzi nfyuuuu
kweli mbuzi hawakai jela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukizidiwa tunayamwaga humu humu, watukamatege tu, kwani jela wanakaa mbuzi nfyuuuu
Kwa hatua aliyofikia amejitoa kwenye kundi la wanaume....
Mwanaume mwenye fikra za kiume unaanzaje kufikiria kujichubua badala ya kupambana na maisha na kutimiza ndoto zako....wanaume dizaini hii ndio wanaokimbia panya vyumbani mwao............Huyu jamaa mi huwa namuonaga ana mwonekano wa kishoga shoga sana! Kalegea macho sana sasa na huko kujichubua tena ndio kunaongeza utata zaidi
Mwanaume mwenye fikra za kiume unaanzaje kufikiria kujichubua badala ya kupambana na maisha na kutimiza ndoto zako....wanaume dizaini hii ndio wanaokimbia panya vyumbani mwao............
Mwacheni ajichubue aseeh maana rich alikuwa ana sura nzito jaman, sura inatisha kama zombie, mi naona sasa ivi afadhali sio sura ya msanii ile aliyokuwa nayo

Hahahahaaa.....tupo pamoja mkuu lusungo
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kabla na Baada[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
List ya Masuper star wa Kiume Bongo waliojibadilisha ngozi kwa kutumia mkorogo ama madawa inazidi kunona baada ya Msanii Richi Mavoko Kusemekana naye amejichumbua ngozi kwani muonekano wake wa kabla na sasa ni tofauti sana kama inavyoonekana hapo juu kwenye picha....
Picha hiyo imewekwa instagram na mdau mmoja na hivi ndiyo watu walivyoichukulia:
shalifanuhu
Wao umenaga
ugly73
Lakini napenda SAUTI yake .. Sasa sijui bado ipo AU imekua kama YA Recho kizunguzungu... Shuti kuimba kwa
anney09kavishe
Hata wanaume wanahangaika na mkorogo jaman lol
amosemma
Ha ha ! Natural ndio mpango mwanaume hvo aibuu.
mayna_pemba
Wakaka wanataka kufanana na dada zao
Huoni kwamba wanapoteza muda mwingi kujiremba kuliko kuumiza vichwa na kutuletea mashahiri yenye ujumbe murua....motto wa kiume unagombania dressing table na mkeo au dada yako hii ni aibu ya mwaka.......kwanza unataka upendeze ili iweje mwanaume....Mwacheni ajichubue aseeh maana rich alikuwa ana sura nzito jaman, sura inatisha kama zombie, mi naona sasa ivi afadhali sio sura ya msanii ile aliyokuwa nayo
Hakuna mkorogi hapo huo maisha kayaotea tu pesa haifichiki ac 24hrs plus kula makukukuku kwa nn ngozi isiwe mororo[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kabla na Baada[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
List ya Masuper star wa Kiume Bongo waliojibadilisha ngozi kwa kutumia mkorogo ama madawa inazidi kunona baada ya Msanii Richi Mavoko Kusemekana naye amejichumbua ngozi kwani muonekano wake wa kabla na sasa ni tofauti sana kama inavyoonekana hapo juu kwenye picha....
Picha hiyo imewekwa instagram na mdau mmoja na hivi ndiyo watu walivyoichukulia:
shalifanuhu
Wao umenaga
ugly73
Lakini napenda SAUTI yake .. Sasa sijui bado ipo AU imekua kama YA Recho kizunguzungu... Shuti kuimba kwa
anney09kavishe
Hata wanaume wanahangaika na mkorogo jaman lol
amosemma
Ha ha ! Natural ndio mpango mwanaume hvo aibuu.
mayna_pemba
Wakaka wanataka kufanana na dada zao
Anaiga wakongo?? Au analazimisha u-handsome???
Huoni kwamba wanapoteza muda mwingi kujiremba kuliko kuumiza vichwa na kutuletea mashahiri yenye ujumbe murua....motto wa kiume unagombania dressing table na mkeo au dada yako hii ni aibu ya mwaka.......kwanza unataka upendeze ili iweje mwanaume....
hapo kwenye red,kujichubua ndio u-handsome? nakuuliza
Kwa hiyo wasanii wanatakiwa wawe na sura nzuri au??😉😉😉
Yes, wengine wakijichubua mvuto unaongezeka maradufu na kuongeza uzuri wa sura, ila wengine huchukiza, kwa mavoko kapendeza kwa kweli ukilinganisha na ngozi yake ya asili