Mwimbaji Richi Mavoko Aingia Katika listi ya Mastaa wa Kiume Waliojichubua Ngozi na Kuwa waupe

Mwanaume aliejikoroga sijui namchukulia vipi.!
 
Kwa hatua aliyofikia amejitoa kwenye kundi la wanaume....

Huyu jamaa mi huwa namuonaga ana mwonekano wa kishoga shoga sana! Kalegea macho sana sasa na huko kujichubua tena ndio kunaongeza utata zaidi
 
Mwanaume mwenye fikra za kiume unaanzaje kufikiria kujichubua badala ya kupambana na maisha na kutimiza ndoto zako....wanaume dizaini hii ndio wanaokimbia panya vyumbani mwao............
 
Mwacheni ajichubue aseeh maana rich alikuwa ana sura nzito jaman, sura inatisha kama zombie, mi naona sasa ivi afadhali sio sura ya msanii ile aliyokuwa nayo
 
Kwa hiyo wasanii wanatakiwa wawe na sura nzuri au??😉😉😉
 
Mshauri na yule mshenzi Wa tandale akarekebishe domo lile maana anapata tabu Sana kulishape mpaka anajisahau.
 
Mwanaume mwenye fikra za kiume unaanzaje kufikiria kujichubua badala ya kupambana na maisha na kutimiza ndoto zako....wanaume dizaini hii ndio wanaokimbia panya vyumbani mwao............

MkamaShapu ktk ubora wake!!!!!

Neno zuri Sana hilo.
 
Last edited by a moderator:
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kabla na Baada[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
List ya Masuper star wa Kiume Bongo waliojibadilisha ngozi kwa kutumia mkorogo ama madawa inazidi kunona baada ya Msanii Richi Mavoko Kusemekana naye amejichumbua ngozi kwani muonekano wake wa kabla na sasa ni tofauti sana kama inavyoonekana hapo juu kwenye picha....

Picha hiyo imewekwa instagram na mdau mmoja na hivi ndiyo watu walivyoichukulia:

shalifanuhu
Wao umenaga

ugly73
Lakini napenda SAUTI yake .. Sasa sijui bado ipo AU imekua kama YA Recho kizunguzungu... Shuti kuimba kwa

anney09kavishe
Hata wanaume wanahangaika na mkorogo jaman lol

amosemma
Ha ha ! Natural ndio mpango mwanaume hvo aibuu.

mayna_pemba
Wakaka wanataka kufanana na dada zao

Mbona The late MJ alijichubua mwili nzima mpaka akawa mzungu, wewe huoni hata watoto wake ni wazungu...sioni ajabu hapo mkuu!
 
Mwacheni ajichubue aseeh maana rich alikuwa ana sura nzito jaman, sura inatisha kama zombie, mi naona sasa ivi afadhali sio sura ya msanii ile aliyokuwa nayo
Huoni kwamba wanapoteza muda mwingi kujiremba kuliko kuumiza vichwa na kutuletea mashahiri yenye ujumbe murua....motto wa kiume unagombania dressing table na mkeo au dada yako hii ni aibu ya mwaka.......kwanza unataka upendeze ili iweje mwanaume....
 
Last edited by a moderator:
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kabla na Baada[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
List ya Masuper star wa Kiume Bongo waliojibadilisha ngozi kwa kutumia mkorogo ama madawa inazidi kunona baada ya Msanii Richi Mavoko Kusemekana naye amejichumbua ngozi kwani muonekano wake wa kabla na sasa ni tofauti sana kama inavyoonekana hapo juu kwenye picha....

Picha hiyo imewekwa instagram na mdau mmoja na hivi ndiyo watu walivyoichukulia:

shalifanuhu
Wao umenaga

ugly73
Lakini napenda SAUTI yake .. Sasa sijui bado ipo AU imekua kama YA Recho kizunguzungu... Shuti kuimba kwa

anney09kavishe
Hata wanaume wanahangaika na mkorogo jaman lol

amosemma
Ha ha ! Natural ndio mpango mwanaume hvo aibuu.

mayna_pemba
Wakaka wanataka kufanana na dada zao
Hakuna mkorogi hapo huo maisha kayaotea tu pesa haifichiki ac 24hrs plus kula makukukuku kwa nn ngozi isiwe mororo
 
Huoni kwamba wanapoteza muda mwingi kujiremba kuliko kuumiza vichwa na kutuletea mashahiri yenye ujumbe murua....motto wa kiume unagombania dressing table na mkeo au dada yako hii ni aibu ya mwaka.......kwanza unataka upendeze ili iweje mwanaume....

Wanajiremba jaman wavutie mapedeshee wawapende, sana wataishije mjini?
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye red,kujichubua ndio u-handsome? nakuuliza

Yes, wengine wakijichubua mvuto unaongezeka maradufu na kuongeza uzuri wa sura, ila wengine huchukiza, kwa mavoko kapendeza kwa kweli ukilinganisha na ngozi yake ya asili
 
Kwa hiyo wasanii wanatakiwa wawe na sura nzuri au??😉😉😉

Yes, msanii unatakiwa uwe unavutia kisura na kimuonekano, ile ni biashara bwana lazima ujiweke smart mashabiki zako wakupende, hauoni wakina ommy dimpoz, ndomo, hemedy, the late kanumba, ray na wasanii wengine walivyokuwa wanajiremba kuanzia uso hadi mavazi na wanapendwa na mashabiki zao sio tu kwa ajili ya kazi zao, mvuto unachangia
 
Back
Top Bottom