Mwimbaji Richi Mavoko Aingia Katika listi ya Mastaa wa Kiume Waliojichubua Ngozi na Kuwa waupe

Ebu nipe umbea mnatakaga nini zaidi ya athuman kipara na pochi?
Hahahaaa, warumi bwana?Sisemi mie.Kila mtu na chaguo lake.Nikisema hapa nitazua mjadala.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa, warumi bwana?Sisemi mie.Kila mtu na chaguo lake.Nikisema hapa nitazua mjadala.

Funguka bhana, kwani inahuu? Jiachie binamu wapenda nini kunako sita kwa sita? Umbea tuweke pembeni kidogo maana sheria ishapitishwa kuanzia sasa ukikamatwa miaka 9 jela au faini ya mil 3,aya nazinyea wapi warumi mie? LEo elfu mbili tu ya kwenda coco imenishinda
 
Last edited by a moderator:
si kweli,, ni setting tu ya rangi.ukuda huo
 
Bora ajikoboe hua kabaya mno na macho yake yale miwani imekaokoa sanaa,
 

Hhhhaaaaaaaaaa yaan mbona ni rahaaaaaa sasaaaa sasa hivi umbea mnene ni pm tu binam etiii
 
warumi nasema nawe umeogopa kutoka unaogopa alshabab
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…