IDDI M CHAMSHAMA
Senior Member
- Oct 14, 2012
- 168
- 38
hapo kwenye red,kujichubua ndio u-handsome? nakuuliza
Wanajiremba jaman wavutie mapedeshee wawapende, sana wataishije mjini?
Hapo sasa nimekuelewa....
Biashara matangazo, sasa kama biashara yenyewe ikiwa mbaya nani atanunua?
Na nyusi katinda..
Kweli biashara lazima ibuniwe kumvutia mnunuzi na kwa hakika wanajua soko lao linataka nini...
Wana sehemu yao kule masaki wanaoshaga mikund*, wasanii kibao utawakuta wanasafishwa uko nyuma wakatoe huduma vizur.... khaaa mdomo huu utaniponza kwa kweli, hyo mil 3 naitoa wapi kwanza? Ngoja nijinyamazie mie
hizo ni picha tu. moja imepigwa kwenye giza na nyingine kwenye mwanga.