Mwimbaji star wa injili anayechipukia kwa kasi

Giddon

Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
24
Reaction score
38
Hebu u-download huu wimbo sikiliza ujumbe na muziki ulivyopigwa halafu toa maoni yako.

Huyu dada anaitwa Evelyne Gideon kwa mara ya kwanza nimeusikia wimbo habari maalum redio.
 
sasa uko wapi maana hakuna hata hiyo link ya kuudownload?
 
Hebu u-download huu wimbo sikiliza ujumbe na muziki ulivyopigwa halafu toa maoni yako.

Huyu dada anaitwa Evelyne Gideon kwa mara ya kwanza nimeusikia wimbo habari maalum redio.
Mkuu mabandiko mengi hayasaidii kufanya muziki uwe mzuri! Wewe tengeneza market starategy nzuru !isitoshe kama ni kazi ya MUNGU haraka ya nini natainuliwa tu! amejitahidi ,ila mimi mimi nina alergy na muziki wa kutengeneza kw acomputya ,rithms inapigwa mwanzo had mwisho bila mabadiliko!
 
Hebu u-download huu wimbo sikiliza ujumbe na muziki ulivyopigwa halafu toa maoni yako.

Huyu dada anaitwa Evelyne Gideon kwa mara ya kwanza nimeusikia wimbo habari maalum redio.
Afe sentesi zako zinaonesha wewe ndio Evelyn!
 
Back
Top Bottom