Mkuu mabandiko mengi hayasaidii kufanya muziki uwe mzuri! Wewe tengeneza market starategy nzuru !isitoshe kama ni kazi ya MUNGU haraka ya nini natainuliwa tu! amejitahidi ,ila mimi mimi nina alergy na muziki wa kutengeneza kw acomputya ,rithms inapigwa mwanzo had mwisho bila mabadiliko!