Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Amigolas afariki Dunia

Amigolas......Baba na sofiii....marcos....swiss air ! RIP
 
....maisha mwendo mdundo, we mwana nakueleza...
... Wengi wameyachezea haya maisha, sasa wanajuta na kukumbuka, kua maisha fainali iko uzeeni...

umenikumbusha mbali sana mpwa daah, RIP Amigolas
 
pumzika kwa amani jembe,muziki wa dansi hautakusahau Tanzania hii na hata nje ya mipaka.Mchango wako umesaidia sana kukuza muziki huu wa dansi.REST IN PERFECT ETERNAL PEACE
 
....maisha mwendo mdundo, we mwana nakueleza...
... Wengi wameyachezea haya maisha, sasa wanajuta na kukumbuka, kua maisha fainali iko uzeeni...

umenikumbusha mbali sana mpwa daah, RIP Amigolas

Wakati huo yupo na cammaradie Ally choki, Rogart Hegga ....Cartepillar....Tanzania, Ally Akida...tetanus ya Geneva, jojo J4, shakashia shakazulu, Abuu semhando (RIP ).... baba diana, baba mwanahamisi ...mzee wa tangi bovu, jessica charles...mama wa london, victor mkambi, MCD (RIP), kizunga mbeleee...........
 
Hiki kikosi kilikuwa balaa....RIP.
 
Mleta uzi mbona ni kama unauliza ? nadhani ungeweka kichwa muafaka cha habari, au ungetafuta kwanza uhakika.

Kama ni kweli duh.....jamaa ni maarufu haswa kwa mustachi wake.
 
Jamaa kweli kafariki..

Twanga pepeta wote wataisha kwa ukimwi..
 
Hivi pumu ina mahusiano na kifua kama uliowachukua ndugu zetu YP na Magari?
 
Hivi pumu ina mahusiano na kifua kama ilowachukua ndugu zetu YP na Magari?
 
Nashangaa sana sijui ni mimi peke yangu!!! wananchi tuna hamasishwa kujitangaza kama una vvu ili jamii ikujue na usiambukize wengine,kweli watu wanajitangaza ila ni wale wasiokuwa na uwezo,ajabu wakifa hawasemi kuwa ukimwi umewaua utasikia pumu,kisukari,saratani malaria.....
R.I.P Jembe
 
Mkuu,hatahvo ukmwi hau ui,yanayoua n maganjwa nyemelezi,kama hzo pumu..etc
 
Inasikitisha sana vifo vingi vya wasanii wa muziki vinafanana. Mungu atunusuru
 
Back
Top Bottom