Euaggelion03
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 722
- 789
Yaani kama kweli itaniuma sana
....maisha mwendo mdundo, we mwana nakueleza...Amigolas......Baba na sofiii....marcos....swiss air ! RIP
Nahisi inaitwa Victoria
Ushawahi kuingia hapo?
R. I. P Amigolas!!
....maisha mwendo mdundo, we mwana nakueleza...
... Wengi wameyachezea haya maisha, sasa wanajuta na kukumbuka, kua maisha fainali iko uzeeni...
umenikumbusha mbali sana mpwa daah, RIP Amigolas
Wakati huo yupo na cammaradie Ally choki, Rogart Hegga ....Cartepillar....Tanzania, Ally Akida...tetanus ya Geneva, jojo J4, shakashia shakazulu, Abuu semhando (RIP ).... baba diana, baba mwanahamisi ...mzee wa tangi bovu, jessica charles...mama wa london, victor mkambi, MCD (RIP), kizunga mbeleee...........
Yahaya uko wapi?ameimba wimbo gani?
Usihofu sana.....amefariki kwa pumu tu!
Nashangaa sana sijui ni mimi peke yangu!!! wananchi tuna hamasishwa kujitangaza kama una vvu ili jamii ikujue na usiambukize wengine,kweli watu wanajitangaza ila ni wale wasiokuwa na uwezo,ajabu wakifa hawasemi kuwa ukimwi umewaua utasikia pumu,kisukari,saratani malaria.....
R.I.P Jembe
Mkuu,hatahvo ukmwi hau ui,yanayoua n maganjwa nyemelezi,kama hzo pumu..etc