Mganda huyo ila Uganda nako kuna wahutu kama wa huko Rwanda ..Huyu ni wa Uganda au Rwanda? Au me ndo sijui.
hii Kali "sirikusula"
UgandaHuyu ni wa Uganda au Rwanda? Au me ndo sijui.
Ouk nimeelewa sasa.Mganda huyo ila Uganda nako kuna wahutu kama wa huko Rwanda ..
Nashukuru kwa kufaham hili.Uganda
Yule anaitwa seka manara saivi anafanya kazi na eddy kenzo kwenye ile mariaroza ya eddy alikuwepo pale ..na mwenzie king Kong amefariki kwa malaria mwaka Jana.Hii nyimbo mpaka kwsho kutwa inapendeza. Kuna yule jamaa mwenye miguu spoku kwenye video, anaweza
Sio mganda ni mnyankole kama ni myanda alipewa uraia..Nashukuru kwa kufaham hili.
Mbalala sevo sio mbarariHuyu Dada alitisha sana kipindi kile
Nyimbo zake ninazo zote
Kuna tindatine, nzewowo, na kuna hii Kali "sirikusula"...
Huyu bado yupo kwa sasa na kaachia kibao karibuni ..
Uganda zamani walikuwa wanajua sana muziki aseeh.
Kuna mdada mwingine aliitwa Sarah zawede ..halafu Juliana , herieth kinseka.
Walitisha mnoo
Pia video hiyo tindatine ni kisa cha ukweli kiliwahi tokea ndo akatungia nyimbo.
Video ilishutiwa sehemu moja Uganda inaitwa mbarari
Usijali dogo ..Asee huku Kuna watu wanajua hiyo nyimbo hata kujua nlikuwa Sijui na Mara ya mwisho uiskiza ilIkuwa 2009 nipo primary mpaka leo jamani aseee hongereni Sana
Pia kuna kundi la wadada wale Uganda masister du flani hivi walikuwa na vibao vikali sana kama vile "wekume"
Nyimbo zao ninazo kibao sana hizo za zamani tu basi.
Lady mariamu alikuwa na macho flani matamu tamu ...
Nyimbo zake nyingi zilikuwa kwenye mtindo story unaburudika sana
Ndo nini mbna sielew sasa lolSio mganda ni mnyankole kama ni myanda alipewa uraia..
Hapana sidhani kama ndio hao kina Cindy?Labda blue 3. Kama ndo hao walisha sambaratika