Mwimbaji wa Uganda Lady Mariamu yuko wapi?

Mwimbaji wa Uganda Lady Mariamu yuko wapi?

mgendege

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2020
Posts
322
Reaction score
388
Samahani wadau mwimbaji wa nchini Uganda aliyetamba Sana na wimbo wa TINDATINE Kuna mtu kaniambia alikufaga ni kweli au? Naomba msaada mwenye kujua View attachment 1651646

ladynamumariamtindatine.jpg

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Huyu Dada alitisha sana kipindi kile
Nyimbo zake ninazo zote
Kuna tindatine, nzewowo, na kuna hii Kali "sirikusula"...

Huyu bado yupo kwa sasa na kaachia kibao karibuni ..
Uganda zamani walikuwa wanajua sana muziki aseeh.
Kuna mdada mwingine aliitwa Sarah zawede ..halafu Juliana , herieth kinseka.
Walitisha mnoo

Pia video hiyo tindatine ni kisa cha ukweli kiliwahi tokea ndo akatungia nyimbo.
Video ilishutiwa sehemu moja Uganda inaitwa mbarari
 
Yupo saa hivi ni radio presenter huko Uganda kama sio SIMBA FM ni CBS. She is purely a Ugandan. Lakini pia umri umeenda kidogo kamua kuwapisha vijana kama akina Sheebah, Cindy, chosen Becky nk pia ni film director
 
Hii nyimbo mpaka kwsho kutwa inapendeza. Kuna yule jamaa mwenye miguu spoku kwenye video, anaweza
Yule anaitwa seka manara saivi anafanya kazi na eddy kenzo kwenye ile mariaroza ya eddy alikuwepo pale ..na mwenzie king Kong amefariki kwa malaria mwaka Jana.

Hadi nilikuwaga namuiga huyo jamaa
Uganda sijui kimewapata nini walikuwa wanajua sana muziki
 
Pia kuna kundi la wadada wale Uganda masister du flani hivi walikuwa na vibao vikali sana kama vile "wekume"

Nyimbo zao ninazo kibao sana hizo za zamani tu basi.
Lady mariamu alikuwa na macho flani matamu tamu ...
Nyimbo zake nyingi zilikuwa kwenye mtindo story unaburudika sana
 
Huyu Dada alitisha sana kipindi kile
Nyimbo zake ninazo zote
Kuna tindatine, nzewowo, na kuna hii Kali "sirikusula"...

Huyu bado yupo kwa sasa na kaachia kibao karibuni ..
Uganda zamani walikuwa wanajua sana muziki aseeh.
Kuna mdada mwingine aliitwa Sarah zawede ..halafu Juliana , herieth kinseka.
Walitisha mnoo

Pia video hiyo tindatine ni kisa cha ukweli kiliwahi tokea ndo akatungia nyimbo.
Video ilishutiwa sehemu moja Uganda inaitwa mbarari
Mbalala sevo sio mbarari

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Labda blue 3. Kama ndo hao walisha sambaratika
Pia kuna kundi la wadada wale Uganda masister du flani hivi walikuwa na vibao vikali sana kama vile "wekume"

Nyimbo zao ninazo kibao sana hizo za zamani tu basi.
Lady mariamu alikuwa na macho flani matamu tamu ...
Nyimbo zake nyingi zilikuwa kwenye mtindo story unaburudika sana
 
Labda blue 3. Kama ndo hao walisha sambaratika
Hapana sidhani kama ndio hao kina Cindy?
Nafkiri ni wengine walikuwa miaka ya nyuma kidogo.

Pia kuna yule.jamaa aliefatiki Radio alikuwa na kipaji sana.

Halafu mnisaidie ile sign nyingi video zikiisha inaandikwa " tugende tukole " halafu linafata "Leon island" ni ya nani?

Niliskia ni ya chameleon
 
Back
Top Bottom