Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
"" mara ya kwanza ilikuwa pale alipodai kurudishiwa hela ya chapati alizonunua kwa ajili ya kifungua kinywa cha wachezaji wa Simba ""Hii ni baada ya wapiga kura tuliotangaziwa awali kuongezeka kutoka 1400 hadi 1728 , wamezaana lini haifahamiki ! ikumbukwe kwamba Mwina Kaduguda anagombea ujumbe.
Hii si mara ya kwanza kwa Mwina Kaduguda kupigania haki yake ndani ya simba , mara ya kwanza ilikuwa pale alipodai kurudishiwa hela ya chapati alizonunua kwa ajili ya kifungua kinywa cha wachezaji wa Simba.
....... Tutaendelea kuwajulisha yote yanayotokea kwenye uchaguzi huu , ikiwemo yale ya nyuma ya pazia .
Kaduguda ni shujaa !Baada ya dk. 10 tu tangu alipotoka alirudishwa ukumbini na kuendelea na kikao.
Hakuna maana nyingine , Kaduguda akiwa kocha msaidizi wa simba alilazimika kununua chapati za chai kwa wachezaji baada ya viongozi kuchelewesha hela , hata hivyo alidai pesa zake na baada ya danadana akaamua kuripua kwenye vyombo vya habari ."" mara ya kwanza ilikuwa pale alipodai kurudishiwa hela ya chapati alizonunua kwa ajili ya kifungua kinywa cha wachezaji wa Simba ""
Naomba kuuliza,hio sentensi ni kweli yalitokea au ni maneno code,yaani yana maana nyingine ?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nae anadai hela ya chai!!!? Ndio apewe ujumbe huyu.Hakuna maana nyingine , Kaduguda akiwa kocha msaidizi wa simba alilazimika kununua chapati za chai kwa wachezaji baada ya viongozi kuchelewesha hela , hata hivyo alidai pesa zake na baada ya danadana akaamua kuripua kwenye vyombo vya habari .
Ni kweli kabisa ilitokea wala si stori za kupotezea muda. Ilikuwa hivi:"" mara ya kwanza ilikuwa pale alipodai kurudishiwa hela ya chapati alizonunua kwa ajili ya kifungua kinywa cha wachezaji wa Simba ""
Naomba kuuliza,hio sentensi ni kweli yalitokea au ni maneno code,yaani yana maana nyingine ?[emoji23][emoji23][emoji23]
Asee daah,soka oetu bado sana kumbe,Ni kweli kabisa ilitokea wala si stori za kupotezea muda. Ilikuwa hivi:
Kaduguda wakati huo alikuwa kocha msaidizi wa Simba (nasema kocha msaidizi, pia aliwahi kuwa Katibu Mkuu, Simba na TFF/FAT). Sasa baada ya mazoezi ya asubuhi, wachezaji wakapelekwa restaurant moja wakapate breakfast. Kutokana na wepesi wa kifungua kinywa kile kulinganisha na mazoezi, na viongozi hawakuwepo, Kaduguda akaamua kutingia mfukoni mwake na kununua chapati 60 na kuwapa wachezaji 30, yaani kila mmoja aongeze chapati mbili mbili, na kwa kuwa zilikuwa zinauzwa sh. 100/= each, ilimgharimu sh. 6,000/= (elfu sita tu) kwa chapati zote. Baada ya siku ile, Kaduguda akaanza kuudai uongozi umrudishie hela yake aliyojitolea. Uongozi ukawa unamzungusha siku hadi siku. Basi siku moja baada ya mazoezi ya timu, Kaduguda akaamua kuchukua mipira ya timu kama shinikizo la kulipwa elfu sita yake! Sijajua hatima yake ilikuwaje
Viongozi wa juu wangetumia akili kidogo,hii habari isingevuja,daah hadi aibu kusema kweli.Hakuna maana nyingine , Kaduguda akiwa kocha msaidizi wa simba alilazimika kununua chapati za chai kwa wachezaji baada ya viongozi kuchelewesha hela , hata hivyo alidai pesa zake na baada ya danadana akaamua kuripua kwenye vyombo vya habari .
Mwina na Simba wa kweli asiye tetereka na msomi. Namkubali sanaHuyu ni Jipu pale Simbaa..
Watu kama hawa hatutakiwi kuwa nao
Mimi ni Mwana yanga lakin tu kwa jinsi wadau na mleta wanavyomwelezea huyu kaduguda naona ni shujaa hatari sana. Hongera ziende kwake Tanzania tunahitaji watu kama hawaHuyu ni Jipu pale Simbaa..
Watu kama hawa hatutakiwi kuwa nao
Ni kweli kabisa hii"" mara ya kwanza ilikuwa pale alipodai kurudishiwa hela ya chapati alizonunua kwa ajili ya kifungua kinywa cha wachezaji wa Simba ""
Naomba kuuliza,hio sentensi ni kweli yalitokea au ni maneno code,yaani yana maana nyingine ?[emoji23][emoji23][emoji23]
dah mkuu haya ya kweli nakumbuka ilitokea mwaka 2007"" mara ya kwanza ilikuwa pale alipodai kurudishiwa hela ya chapati alizonunua kwa ajili ya kifungua kinywa cha wachezaji wa Simba ""
Naomba kuuliza,hio sentensi ni kweli yalitokea au ni maneno code,yaani yana maana nyingine ?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hili namtetea Mwina, timu ilikuwa na bajeti yake. Ilikuwaje viongozi wakachelewa? Mwina alijua Kama akikaa kimya atakuwa kapigwa yeye hiyo hela, yaani kanunua kwa pesa zake huku kiongozi mmoja akilamba hizo pesa. Hoja sio kiadi Cha pesa, Bali Nani ananufaika nayo!!Ni kweli kabisa ilitokea wala si stori za kupotezea muda. Ilikuwa hivi: