Mwina Kaduguda: Kombe la shirikisho ni kombe la kina mama

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
"Kwa hiyo YANGA walikuja wanajiamini.....wanatupigia mbwembwe ....mwaka huu tunaenda nusuuu kwenye lile kombe la kina mama ( kombe la shirikisho[emoji23])

Sisi tunacheza kombe la wanaume ( club bingwa [emoji23]) wao Wanacheza kombe la kina mama - Kaduguda,(2022)

So jumamosi YANGA atakuwa Zanzibar kucheza kombe la wanaume, Simba atakuwa KMC kucheza kombe la wamama ( shirikisho) au kombe la rede

NB Je kombe la kina mama bado Simba inashindwa piga shot on target hata 1[emoji23][emoji23]
Screenshot_20240918-112022.jpg
 
"Kwa hiyo YANGA walikuja wanajiamini.....wanatupigia mbwembwe ....mwaka huu tunaenda nusuuu kwenye lile kombe la kina mama ( kombe la shirikisho[emoji23])
.....sisi tunacheza kombe la wanaume ( club bingwa [emoji23]) wao Wanacheza kombe la kina mama.... kaduguda,(2022)

So jumamosi YANGA atakuwa Zanzibar kucheza kombe la wanaume.....Simba atakuwa kmc kucheza kombe la wamama ( shirikisho) au kombe la rede

NB Je kombe la kina mama bado Simba inashindwa piga shot on target hata 1[emoji23][emoji23]View attachment 3099418
OGOPA MUNGU NA TEKNOLOJIA
 
🤣🤣🤣 Kaduguda alimaliza Kila kitu, sasa wapo wanapelekewa moto na wakina mama wenzao🤣🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kaduguda alimaliza Kila kitu, sasa wapo wanapelekewa moto na wakina mama wenzao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alijua amemaliza vyote
 
Kombe la Rede tena!! Aisee hii kauli inaumiza sana roho za makolo! Hapa watakuja na matusi gunia!!

Vipi kwanza kuhusu lile goli la Mama au tuite Goli la Mama Young Africans!
 
5million zimechotwa na yanga
 
VIPI KUHUSU YUSUPH KAGOMA ATACHEZA ZANZIBAR NEW AMAN COMPLEX AU BENJAMINI MKAPA? COZ KUNA TIMU ILISEMA NI MCHEZAJI WAO?
Hawezi pata no pale mkuu....hata kazi ya kuokota mpira hawezi
 
Back
Top Bottom