Mwina Kaduguda: Kombe la shirikisho ni kombe la kina mama

Mwina Kaduguda: Kombe la shirikisho ni kombe la kina mama

"Kwa hiyo YANGA walikuja wanajiamini.....wanatupigia mbwembwe ....mwaka huu tunaenda nusuuu kwenye lile kombe la kina mama ( kombe la shirikisho[emoji23])

Sisi tunacheza kombe la wanaume ( club bingwa [emoji23]) wao Wanacheza kombe la kina mama - Kaduguda,(2022)

So jumamosi YANGA atakuwa Zanzibar kucheza kombe la wanaume, Simba atakuwa KMC kucheza kombe la wamama ( shirikisho) au kombe la rede

NB Je kombe la kina mama bado Simba inashindwa piga shot on target hata 1[emoji23][emoji23]View attachment 3099418
Kuwa na akiba ya maneno nayo muhimu.
 
Back
Top Bottom