Mwina Kaduguda na wenzako, kwanini hamtaki kuvaa jezi za M Bet, mnatufundisha nini sisi mashabiki

Ukweli ni kwamba Simba awamu hii kuhusu jezi wamezingua ,jezi hamna na hizo chache zinauza sh 100,000 . Fredy Vunjabei alisema ameingia hasara ya mil 300+ kwasababu alitengeneza zenye nembo za sportpesa mara mdhamini kabadilishwa
 
Simba wa Yuda huwa anavaa jezi, M-Bet tangu aje mashabiki wengi hawana hizo jezi,na kile kipigo tulichowapa Cha Community shield,hata jezi hazinunuliki tena+ Sarakasi za Vunja bei
 
Mwafrika akielezwa ukweli huona kama ametukanwa, ndio maana wamezoea uwongo uwongo.
 
Barbra hakuwagawia Jezi mpya wajumbe wa Bodi ya Simba ndio maana wanavaa za zamani!
 
Jitu hata pesa halichangii nani alisikilize sasa.......yeye anachojua ni ushirikina tu
 
Watu wengi hawajapata jezi
 
Hiyo jersy ya zamani aitie moto. Mkataba wake na muuzaji ni kwamba avae mwaka mmoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…