Mwina Kaduguda: Nipo tayari kufa ili Simba Sc ifanikiwe

Aliwahi kudai hela zake alizonunua Chapati kwenye kambi ya Simba. Tena alizidai kwa lugha mbaya sana
Yeye sio malaika, Magu mwenyewe aliwahi kuwaambia wana Kigamboni wapige mbizi,lakini wakampa urais sembuse Simba wa Yuda?
 
Kwaiyoo ndo afe kwa ajili ya timu. Hizo ni mbwembwe tu akishikiwa kisu shingoni mkojo debe mavi karai. Atasema simba sio mama yangu.
 
I love you my sweet mchepuko, punguza hasira na hamaki, mumeo nakupenda jinsi ulivyo
 


Nani Anabisha Ajifanye Kama Anajikuna Vile, Aone!!!

Simba Nguvu Moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…