OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #21
Yeye sio malaika, Magu mwenyewe aliwahi kuwaambia wana Kigamboni wapige mbizi,lakini wakampa urais sembuse Simba wa Yuda?Aliwahi kudai hela zake alizonunua Chapati kwenye kambi ya Simba. Tena alizidai kwa lugha mbaya sana