Hommie angalia usije ukapasua keyboard hizo si unajua kupata nyingine ilivyo shida....!!!! lolAcha uongo wa kusingizia watumish wa Mungu. unatafuta faraja kwa kuwa unataka kwenda? au ushaenda na hujapona? au umesikia wamepona ila hujathibitisha! pole
Mkuu, haya mambo ya imani yanataka uelewa na busara.Hommie angalia usije ukapasua keyboard hizo si unajua kupata nyingine ilivyo shida....!!!! lol
Ivi Unabii na Utume unajipa unapewa?
hehehe na bado watatoka povu sana! mi nashindwa kuelewa ivi mtu unatekwaje kiimani na watu kama kina Mwingira &Co.
Mwakasege kasema watu waende wakapate kikombe......
Katika ibada ya jumapili iliyokuwa inafanyika kwenye kanisa la EFATA Nabii na mtume mwingira aliporomosha matusi ya nguvu kwenye ibada hiyo kwa watu wote wanaokwenda Loliondo na waandishi wa habari wanaojifanya kumuandika kwenye vyombo vya habari baaadhi ya maneno yenye lugha iliyopitiliza sitaweka ila mojawapo ni haya " Nasema wale wanaokwenda Loliondo ni wajinga!! nasema niwajinga!! waandishi wa habari ambao wanatabia ya kuniandikaandika kwenye vyombo ya habari ni wajinga'' nasema niwajinga, mawaziri wanaokwenda Loliondo ni wajinga!!! wanaonisema kuwa ninalaaana ya Kanisa la Moja ni wajingaaaa!!! baada ya kuporomosha maneno ambayo sio rahisi kwa mtu yeyote wa mungu kuyatamka alimalizia kwa kuwataka wamumini waitikie kwa kusema ameeen. Hata hivyo alibainisha wazi kuwa anajua kuna waandishi wa habari wapo ibadani hapo hivyo waandike wanavyoweza maana ni wajinga.
Kwenye Ibada ya jumapili ya tarehe 13/03/2011 mwingira alitoa amri mafundi waliokuwa wanarusha ibada ya jumapili kwa njia ya TV wazime ili wanachi wanofuatilia ibada hiyo wasione kashfa aliyoitoa kumkashifu babu wa loliondo hata hivyo bila kujua kuwa JF member alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wametinga ndani ya ibada hiyo. Hata hivyo inaonesha kuwa mwingira anashida kubwa kiroho hivyo kwani taharuki na ghadhabu aliyoionyesha ibadani juu ya kuanikwa na vyombo vya habari mimi binafsi sijui nitafanyiwa maombi gani ili niamini kuwa mwingira ni nabii. Baada ya ibada baadhi ya waumini wake walisikika wakimlaumu kwa lugha alizotumia kuwasilisha hisia zake!! nimeona niwajuze wenzangu ili mjue msimamo wa nabii huyu!!!!
Mkuu, haya mambo ya imani yanataka uelewa na busara.
Mi hapa naona kuna wenye uelewa, na kuna wenye busara na kuna ambao hawana hata kimoja, hawa ndo wafuasi wa kibwetere....yeyote atakayesema mungu yupo hapa tu, wanakimbilia hapohapo,wanajazwa ujinga coz hawana maarifa na wanakuwa mazuzu.
Acha kumuwekea Mwalimu Mwakasege maneno asiyoyatamka kwani we all know hajasema na hawezi kutoa statement kama hiyo hata akiulizwa na waandishi wa habari.
Ndio maana kwa wale waliohudhuria semina yake iliyoisha juzi hapo biafra alipokuwa anafundisha namna ya kukazania maombi yako kwa Mungu hadi ujibiwe walimsikia akisema, "hapa sizungumzii dini ya mtu, na wala hautonisikia nazungumzia dini ya mtu" bali ninakufundisha namna ya kujifunza neno la Mungu..........
katika ibada ya jumapili iliyokuwa inafanyika kwenye kanisa la efata nabii na mtume mwingira aliporomosha matusi ya nguvu kwenye ibada hiyo kwa watu wote wanaokwenda loliondo na waandishi wa habari wanaojifanya kumuandika kwenye vyombo vya habari baaadhi ya maneno yenye lugha iliyopitiliza sitaweka ila mojawapo ni haya " nasema wale wanaokwenda loliondo ni wajinga!! Nasema niwajinga!! Waandishi wa habari ambao wanatabia ya kuniandikaandika kwenye vyombo ya habari ni wajinga'' nasema niwajinga, mawaziri wanaokwenda loliondo ni wajinga!!! Wanaonisema kuwa ninalaaana ya kanisa la moja ni wajingaaaa!!! Baada ya kuporomosha maneno ambayo sio rahisi kwa mtu yeyote wa mungu kuyatamka alimalizia kwa kuwataka wamumini waitikie kwa kusema ameeen. Hata hivyo alibainisha wazi kuwa anajua kuna waandishi wa habari wapo ibadani hapo hivyo waandike wanavyoweza maana ni wajinga.
Kwenye ibada ya jumapili ya tarehe 13/03/2011 mwingira alitoa amri mafundi waliokuwa wanarusha ibada ya jumapili kwa njia ya tv wazime ili wanachi wanofuatilia ibada hiyo wasione kashfa aliyoitoa kumkashifu babu wa loliondo hata hivyo bila kujua kuwa jf member alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wametinga ndani ya ibada hiyo. Hata hivyo inaonesha kuwa mwingira anashida kubwa kiroho hivyo kwani taharuki na ghadhabu aliyoionyesha ibadani juu ya kuanikwa na vyombo vya habari mimi binafsi sijui nitafanyiwa maombi gani ili niamini kuwa mwingira ni nabii. Baada ya ibada baadhi ya waumini wake walisikika wakimlaumu kwa lugha alizotumia kuwasilisha hisia zake!! Nimeona niwajuze wenzangu ili mjue msimamo wa nabii huyu!!!!
He! Umesahau ule usemi ya kuwa Kahaba atazaa bikra na Sheikh atazaa jambazi?Walikuwepo ila inavyoelekea wameshaanza kushtuka maana hapo tu aligawa bahasha ili watu wachangie pesa, Kibaya zaidi waumini wemeshtukia maana binti wake mwingira amepigwa mimba na mhuni mmoja wa kimara. Pia mtoto wake wa kiume ndiyo utajua watumishi wa mungu nao wanamisalaba!!!
Mkuu Anold,
Kumbuka ya kuwa.......dini ni mpango wa MUNGU kumkomboa Mwanadamu, na dhehebu ni mpango wa Mwanadamu kumtafuta MUNGU!
Sasa kwenye kumtafuta MUNGU si wote wanakuwa/tunakuwa kwenye RIGHT TRACK.
Mkuu hivi mambo ya dini yanahitaji serikali na yenyewe kuingilia kutupa elimu. Think and Think again.That is a very good question! Huwa mimi nashangaa sana na nadhani tatizo ni serikali yetu haijatupa elimu ya kutosha kupambanua mambo.