Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajipachika wenyeweHivi huu utume na unabii unatolewa na nan?
Hii statement yako ina makosa mengi. Unapoandika kwa keyboard yako mara zote soma tena na tafakari kabla hujaandika. Usibebwe na mkumbo!Kiukweli mimi simuamini huyu mtumishi kabisaaaa. Kuna wakati alithubutu hata kuwafukuza waumini wake ambao hawakuwa na sadaka. Sasa mtu utajiuliza, katika mchakato wa kumtafuta Mungu na uzima, masikini hawatashiriki? Tujiulize na kutafakari kabla ya kuamua kuhamahama kiimani kwani kwa upeo wangu mdogo najua kuwa Mungu yupo popote. Watu wanadhani kuwa uwepo wa Mungu unaambatana na miujiza tuuu. Kwa maana hiyo, watu wengi wanaotangatanga kiimani huwa wanatafuta miujiza na nguvu za ziada.
kwel babu ni nma kaja kuwaumbua manabii na mitume fix (waongo) umeona enhee....
Hivi huu utume na unabii unatolewa na nan?
Hivi huu utume na unabii unatolewa na nan?