Mwingira aporomosha matusi ya nguoni ibadani baada ya kuumbuliwa na JF

Mwingira aporomosha matusi ya nguoni ibadani baada ya kuumbuliwa na JF

kama alitukana acha nasi tumtukanie mama ake ms**ngi e*uuui kairudi alikotok wwwwiiiiiiiuiiiiiiuiiiii : laaana
 
Kiukweli mimi simuamini huyu mtumishi kabisaaaa. Kuna wakati alithubutu hata kuwafukuza waumini wake ambao hawakuwa na sadaka. Sasa mtu utajiuliza, katika mchakato wa kumtafuta Mungu na uzima, masikini hawatashiriki? Tujiulize na kutafakari kabla ya kuamua kuhamahama kiimani kwani kwa upeo wangu mdogo najua kuwa Mungu yupo popote. Watu wanadhani kuwa uwepo wa Mungu unaambatana na miujiza tuuu. Kwa maana hiyo, watu wengi wanaotangatanga kiimani huwa wanatafuta miujiza na nguvu za ziada.
Hii statement yako ina makosa mengi. Unapoandika kwa keyboard yako mara zote soma tena na tafakari kabla hujaandika. Usibebwe na mkumbo!
 
He he he he
Poleni sana wafuasi wa Mtume na Nabii Mwingira na wale wote wanaokubali matusi yake kama ndio sehem ya neno la Mungu.

Kweli siku za mwisho watatokea Manabii wa Uongo. Ahsante MwanajamiiOne
 
Sipati picha . . . .
Eti "Wale wote ni wajinga"
wafuasi wanaitikia "Ameeeen"

Ha ha ha ha
Aiseeeeee
 
kwel babu ni nma kaja kuwaumbua manabii na mitume fix (waongo) umeona enhee....
 
kwel babu ni nma kaja kuwaumbua manabii na mitume fix (waongo) umeona enhee....

Babu noma ndugu
Watu wanamtungia sredi za kumsiliba baada ya kuona wafuasi wao wanakimbia, hivyo vipato vyao vitashuka kwa kasi kama yalivyoshuka makombora ya kumchapa Gaddafi.
Sasa kuna wafuasi wa akina Mwingira na Kakobe hapa nawaona wanahaha kuokoa jahazi la kipato cha Watume wao . . . . He he he he
 
"ya wakristo ni waachie wakristo" ... :juggle::juggle::juggle:
 
Kila lilonenwa na MUNGU kupitia midömo mitukufu ya Manabii wa kweli lazima yatimie!!! Kwa sifa za mwalimu wa dini(SINA IMANI NA THE SO CALLED MODERN PROPHETS). Mwingira ni tapeli wa imani anayeiba kondoo wa BWANA toka zizin na kuwapele MOTONI nasema tena ni TAPELI NA MWIZI WA ROHO ZA KONDOO wa BWANA!Watanzania tusome Maandiko matakatifu ili tujue pumba na mchele!! Nawashangaa sana wanaojazana huko! Ni nan mwenye mamlaka ya kujiita mtume au nabii?? Je,mitume wa Yesu walijitangaza au Yesu mwenyewe aliwachagua? Je, ni wapi tunaambiwa kuwa baada ya wale mitume 12-1 Waliofanikisha kuwepo agano jipya watakuja wengine?? Je, tumempima tukaona kuwa hana sifa za manabii wa uongo??mbona kama mahubiri yake yamejaa story tu tena zenye kubomoa iman!! TAFAKARi kisha CHUKUA HATUA!
 
nabii wa uongo huyooooooooo...kamataaaa...kaishiwa mbinuuuuuu lo lol lo mwingira weeeeeeeeee
 
Hawa jamaa historia tu inawahukumu....ni wacheza dansi tu waliozamia makanisani na kujiita manabiii. Poor
 
Mwingira ni mjasiliamali aliyewekeza kwenye mifuko na akili za wajinga. Nani aliyempa wadhifa wa utume, je nani kampa wadhifa wa unabii. Hakika Mwingira anazitamani jero jero za babu wa Loliondo
 
kaaziii kweli kweli amgekuwa shekhe ungeambiwa katumwa na majini sasa yeye sijui atumwa na nchikavu
 
Back
Top Bottom