Mwinjilisti amkemea vikali aliyejifanya Mhudumu wa Vodacom

Mwinjilisti amkemea vikali aliyejifanya Mhudumu wa Vodacom

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
6,238
Reaction score
8,194
Hii ni habari ya kweli kabisa. Sio chai. Uongo mimi nauchukia kama ukoma.

Mwinjilisti mmoja, masaa machache yaliyopita, alipigiwa simu (kwa namba ya kawaida ya mtumiaji wa Vodacom) na mtu aliyejitambulisha kuwa "Mhudumu" wa Vodacom. Maongezi yao yalikuwa hivi:

"Mhudumu": Hallo, unaongea na fulani bin fulani, "Mhudumu" wa Vodacom
Mwinjilisti: Shindwa kwa Jina la Yesu
"Mhudumu": Rudia tena!
Mwinjilisti: Ushindwe kwa Jina la Yesu
"Mhudumu": Hallo, niombee niache hii kazi
Mwinjilisti: Tubu dhambi, umwamini Yesu. Itakusaidia nini kupata mapesa yote halafu ukose uzima?
"Mhudumu": Sawa
 
Ufu 12:9
Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye.
 
Mwinjilisti: Ushindwe kwa Jina la Yesu
"Mhudumu": Hallo, niombee niache hii kazi
Naamini Jina la Yesu limemfanya huyo mdanganyifu atambue anayoyafanya sio ya haki, ni dhambi. Tumwombee aache huo uovu
TUOMBE:
"Ee Mungu, naomba kwa ajili ya huyo mtu aliyepiga simu na kusema uongo, na wote wanaojihusisha na udanganyifu. Waguse mioyo yao, wapate kutubu. Ee Mungu waokoe kutoka katika giza la uovu na uwawezeshe kupata kazi halali. Kwa jina la Yesu Kristo, Amina."
 
Religion trauma 😃😃😃
It would be intellectually disingenuous to conflate principled moral conviction with psychological affliction. The episode in question exemplifies not coercive religiosity, but rather a resolute repudiation of deceit through faith-informed discernment. To label such an encounter as 'religious trauma' is to collapse the nuanced distinction between spiritual abuse and ethical clarity born of belief.
 
Religion trauma 😃😃😃
Friendly grammar nudge — it's religious trauma, not religion trauma. Even the English language needs deliverance sometimes! 😏
And by the way… can someone truly suffering from religious trauma still moonlight as a grammar coach? Just wondering!
 
Ufu 12:9
Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye.
Kumbe nyoka ana malaika wake
 
Mwinjilisti wa kweli hawezi kutukana, kwa sababu watukanaji hawataurithi ufalme wa Mungu
1 Wakorintho 6:10 TKU
"...wezi, walafi, walevi, watukanaji, au waongo wanaowadanganya wengine ili wawaibie hawatakuwa na sehemu katika ufalme wa Mungu."
Nataka niokoke mtumishi unanisaidiaje
 
Friendly grammar nudge — it's religious trauma, not religion trauma. Even the English language needs deliverance sometimes! 😏
And by the way… can someone truly suffering from religious trauma still moonlight as a grammar coach? Just wondering!
😂😂😂
 
Back
Top Bottom