Huo ni uamuzi wa hekima sana. Kuokoka ni rahisi tuNataka niokoke mtumishi unanisaidiaje
2 Wakorintho 4:4matatizo ya afya ya akili yanakua kwa kasi sana tanzania!
Makanisa yaliyopo yanatosha, mkuu.Mkuu hivi kwa ninavokuona unavopambana kuhubiri humu jukwaani unaonaje ukaanzisha kabisa kanisa huko mtaani ukawa mtume kama wenzio
Una kipaji sana ila hujui tu
Unaishusha thamani injili, utakuwa na tatizo la afya ya akiliKazi gani hiyo ya kuongea uongo na kuwaibia watu. Shindwa shetani unayewadanganya watu
Mirembe ina hamu na weweHii ni habari ya kweli kabisa. Sio chai. Uongo mimi nauchukia kama ukoma.
Mwinjilisti mmoja, masaa machache yaliyopita, alipigiwa simu (kwa namba ya kawaida ya mtumiaji wa Vodacom) na mtu aliyejitambulisha kuwa "Mhudumu" wa Vodacom. Maongezi yao yalikuwa hivi:
"Mhudumu": Hallo, unaongea na fulani bin fulani, "Mhudumu" wa Vodacom
Mwinjilisti: Shindwa kwa Jina la Yesu
"Mhudumu": Rudia tena!
Mwinjilisti: Ushindwe kwa Jina la Yesu
"Mhudumu": Hallo, niombee niache hii kazi
Mwinjilisti: Tubu dhambi, umwamini Yesu. Itakusaidia nini kupata mapesa yote halafu ukose uzima?
"Mhudumu": Sawa
Write in plain EnglishIt would be intellectually disingenuous to conflate principled moral conviction with psychological affliction. The episode in question exemplifies not coercive religiosity, but rather a resolute repudiation of deceit through faith-informed discernment. To label such an encounter as 'religious trauma' is to collapse the nuanced distinction between spiritual abuse and ethical clarity born of belief.
Umeolewa dada?Ni kweli tupu
Ah, but were it not for the manifold wisdom of language—layered, lofty, and occasionally labyrinthine—how else might I mirror the richness of divine revelation? Simplicity has its place, but even Scripture has its ‘verily, verilys.'Write in plain English
Kumbe mapepo ni malaikaHao ndio wanaoitwa mapepo
Kwa hiyo nikisema hivyo tayari nimeshaokokaHuo ni uamuzi wa hekima sana. Kuokoka ni rahisi tu
Omba (kwa kufuatisha kwa moyo wako wa dhati) sala hii ya toba.
Omba hivi:
“Ee Mungu Baba, nimetambua mimi ni mwenye dhambi. Leo nakuja mbele zako nikiomba msamaha wako. Natubu dhambi zangu zote na kuziacha. Nakiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana, na Yeye ndiye Mwokozi wa ulimwengu. Yesu karibu moyoni mwangu utawale maisha yangu kuanzia leo. Naomba unipe nguvu ya kushinda dhambi na kuishi maisha matakatifu. Namkataa shetani na kazi zake zote. Asante Yesu kwa kuniokoa. Katika Jina la Yesu Kristo, ninaomba na kushukuru. Amen.”
Kama umeomba sala hiyo kwa moyo wako wa dhati, tayari umeokoka. Anza kusoma Biblia kila siku na kumuomba Mungu akusaidie kuishi maisha ya utakatifu. Tafuta pia Kanisa lolote linalohubiri wokovu na kufundisha utakatifu, ujiunge nalo, watakupa msaada zaidi wa jinsi ya kuendelea kiroho.
Mungu akutunze, akufunike kwa ulinzi wake, sasa na hata milele. Amen.
Kweli ni rahisiHiyo inaitwa sala ya toba. Ni sala ya kutubu na kuomba msamaha kwa Mungu. Ukiomba sala hiyo kwa moyo wa dhati, Mungu atakusamehe na kukupa wokovu. Ni rahisi tu namna hiyo.
Warumi 1:16-17Unaishusha thamani injili,