Ni nyimbo kama zipi alizotamba nazo Mwumini huku zikiwa zimetungwa na huyo Mudhihiri Mudhihiri? Hata pale Mwumini alipokuwa nje ya band ya Mchinga Sound iliyokuwa ikimilikiwa na Mudhihiri bado ni huyo huyo Mudhihiri ndiye alimtungia nyimbo zilizomfanya atambe?Nyimbo alikuwa anatunga Mudhihiri Mohammed mbunge wa jimbo la Mchinga, usimpe Mwinjuma sifa asizokuwa nazo
wakuu tajeni nyimbo basi alizoimba huyu mwambaNi nyimbo kama zipi alizotamba nazo Mwumini huku zikiwa zimetungwa huyo Mudhihiri Mudhihiri? Hata pale Mwumini alipokuwa nje ya band ya Mchinga Sound iliyokuwa ikimilikiwa na Mudhihiri bado ni huyo huyo Mudhihiri ndiye alimtungia nyimbo zilizomfanya atambe?
Ile waliyoungana na Ali choki ilikuwa inaitwa mchinga sound kweli?
Bosi ahsante sana1. Mgumba Part 1 na Part II
2. Tunda Special
3. Kilio cha Yatima
4. Shangingi la Karne
5. Sada
6. Harusi Yetu
7. Zawadi ya Watanzania
8. Ndugu Lawama
9. Kilio cha Yatima Remix
10. Call Box
11. Kiu ya Mapenzi.
Aiii weewee
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu mwamba huwa sichoki kusikiliza nyimbo zakeAlbum ilikuwa inaitwa Mafahari watatu ndani ya zizi moja.
Alikuwa Ali Choki, Mwinjuma na Banza Stone (R.I.P)
Sent using Jamii Forums mobile app