Muumini alitisha akiwa mchinga then tamtam. Kwa ulinganisho wa wanamziki wa kizazi chake, banza aliwazidi hatua moja mbele
Mkuu Mwinjuma Muumini Ni Mtunzi Na Mwimbaji Pia Kabla Ya Kwenda Mchinga Aound Alipiga Muziki Kenya Na Aliporudi Nchini Alianzisha Bendi Ya African Revolution 'Tamtam' Ametunga Nyimbo Nyingi Tu Na Marrufu Zaidi Nyimbo KamaNyimbo alikuwa anatunga Mudhihiri Mohammed mbunge wa jimbo la Mchinga, usimpe Mwinjuma sifa asizokuwa nazo
Tunda SpecialTaja majina ya nyimbo zake mkuu nizitafute. Huyu jamaa alikuwa ananipa raha sana
African Revolution 'Tamtam'Ile band yao ilikuwa inaitwaje chief?
Hapana Iliitwa Double ExtraIle waliyoungana na Ali choki ilikuwa inaitwa mchinga sound kweli?