Mwinyi Awapa Wapinzani Waongoze Wizara 4, Mwinyi ndio alipaswa kuwa Rais wa Tz baada ya JPM

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
JPM alifanya makosa kumteua SSH kama mgombea mwenza. Mwinyi alifaha sana kuwa Rais wa TZ, jamaa yuko smart pia hana mihemuko na anaonekana kuwa na upendo kwa kila mtu. Mimi ni mkristo ila huyu ofisaaa alitufaha sana kama Rais wa Jamhuri. Kwanza anaga skendo za kijinga pili kanyooka kama rula.

View: https://www.instagram.com/reel/DRAEPIyDBrB/?igsh=eHozcDIxcWVucjNh
 
Bure sana wewe jamaa,hayo ni matakwa ya katiba sio fadhira za mwinyi Wala CCM,jielimishe kwanza kabla ya kuja kuimba mapambio hapa.

Tambua kuwa OMO ndo makamu wa kwanza kulingana na katiba yao,napo utakuja kusifu siku OMO akiapishwa makamu namba 1.
 
JPM alifanya makosa kumteua SSH kama mgombea mwenza. Mwinyi alifaha sana kuwa Rais wa TZ, jamaa yuko smart pia hana mihemuko na anaonekana kuwa na upendo kwa kila mtu. Mimi ni mkristo ila huyu ofisaaa alitufaha sana kama Rais wa Jamhuri. Kwanza anaga skendo za kijinga pili kanyooka kama rula.

View: https://www.instagram.com/reel/DRAEPIyDBrB/?igsh=eHozcDIxcWVucjNh
pale ambapo pimbi ikishiba nyasi halafu ikakosa cha kufanya!! Ni kuropoka tu ujinga! Umemkubali? Unaonaje ukamtunuku tunda? Hahahahahahahaha! Buree kabisa!
 
Haya matusi yote nilijua utakuja na elimu zaidi Kwa faida ya wasomaji wengine...
 
Back
Top Bottom