Mwinyi ndiye Rais bora kuwahi kutokea katika Taifa hili, anaondoka wala hatuna kinyongo nae

kinyongo ni mzigo mzigo sana moyoni, kung'ag'ana nayo ni kujisababishia hitilafu wewe mwenyewe kwenye mental, physical and spiritual health πŸ’

katuachia somo muhimu sana..

R I..P hayati Ali Hassan Mwinyi
 
Kikwete hajawahi kuwa roho mbaya, moja ya Marais Bora kwa nchi yetu hii.
 
HAKUNA MUISIHARAMU YOYOTE AMEWAIHI KUWA RAIS BORA NCHINI ...HUO NDIYO UKWELI
 
Dogo umetoa point imeenda shule. Hakuna asiye na makandokando. Wakati wa Mwinyi tulishuhudia udini ukihatarisha amani ya nchi hii, pale mnazi mmoja palichafuka kwa issues za kidini.
Mwembechai palikuwa moto. Makundi ya kukashfu dini yalikuwa hatari yakizunguka nchini kuendesha mihadhara michafu bila kudhibitiwa! Ilikuwa mbaya sana.
Ufisadi hatari hadi mataifa yalikataa kuipa mkopo nchi tukaambiwa mbona kuna waziri ana hela kuzidi zile tunakopa hivyo tukope kwake.
R.I.P Kighoma Ally Malima, mzee wa fitna alienda ku freeze ac zake akapata pressure akafa.
Alitaka kuanzisha alshabab pake kibaha. Tukapona.
Ngoja niishie hapo.
 
Enzi za utawala wake kulikuwa na waziri anaitwa Hassan Diria alikuwa na kashfa ya kuuza mapoda,pia magabacholi walianza kuibuka na kufilisi nchi yetu eg kashfa ya Chavda
 
Namtakia pumziko jema mzee Alli Hassan Mwinyi, sijisumbui kujadili ubora au ubaya wake humu sababu nachojua, HUMU JF, hakuna rais yeyote wa kiislamu atasemwa kwa mema......wote wabaya tu isipokuwa wale wa upande mwingine ndo wema na 'waliouweza' uraisi.
 
Wengine ngoja tujinyamazie kwani tukianza kuziorodhesha kashfa za Mzee Rukhsa, mbona hapatatosha? RIP Katabalo, mwandishi wa gazeti la MfanyaKazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…