Mwinyi ndiye Rais bora kuwahi kutokea katika Taifa hili, anaondoka wala hatuna kinyongo nae

Alikuwa rais dhaifu sana, mke wake alianza ufisadi kwa ikulu, aliacha kila kitu kijiendee kivyake na ndio hasa asili ya ruksa
 
Ni kweli alikuwa mtu muungwana saaaaana! Apumzike pema.
 
Wwww ACHA bwana wakati yeye ni Rais wewe ulikwa mtoto hujui lolote la kidunia
 
Watu wenye hila kama nyie mngekuwepo enzi za utawala wake au angetawala sasa msingesita kumsema vubaya, maana nyie kwenu chema ni chama chenu na viongozi wenu.
 
Watu wamezaliwa Juzi wataanza muongelea MWINYI huyu Rais wanaeweza muongelea ni Age plus plus humu JF sio ligi na kina Jk kwenda mbele.
 
Mkiambiwa Watanzania ni wadini na wakabila huwa mnabisha.
Watanzania wengi ni wasaliti Kwa nchi na asili yao.
 
Hukuwahi kuishi katika utawala wake- unasimuliwa tu
 
Aliifungua nchi, lakini uta wala wake kama zingine zilizofuata ulijaa wizi mwingi, mama siti mwinyi ndie alikuwa anaongoza genge LA wizi na biashara haramu ya dhahabu, mizigo yake ilipokamatwa, airport wakati Lyatonga mrema ndio waziri wa Mambo ya ndani, iliperekea, Mrema, kutumbuliwa!
Waandishi, wa, habari walipoibua kashfa, za wizi, walitumwa, wasiojurikana kuwamaliza, mmoja, wa, waanga, ni Stanislaus Katabalo, huyu aliuliwa, kwa, sumu ofcn kwake
 
Mungu wetu sisi majirani zenu ana nguvu isiyo pimika... Yeye ndo anatutetea sisi
Mbona mnamtolea fungu la kumi,Hana hela!?..mnamsaidia kuhubiri badala ahubiri mwenyewe huko tumsikie,au ni kibogoyo!?..Mara anataka sadaka ya kuteketeza,anapenda nyama choma na Hana wanyama!?
 
Semi mojawapo za Mzee Mwinyi RIP ilikuwa, ombi la mkubwa ni amri.

Nilipenda kusikiliza hotuba zake sababu ya semi kama hizo.

Apumzike kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…