Mwinyi ndiye Rais bora kuwahi kutokea katika Taifa hili, anaondoka wala hatuna kinyongo nae

Mbona mnamtolea fungu la kumi,Hana hela!?..mnamsaidia kuhubiri badala ahubiri mwenyewe huko tumsikie,au ni kibogoyo!?..Mara anataka sadaka ya kuteketeza,anapenda nyama choma na Hana wanyama!?
Kwa mujibu wenu waliotoa sadaka za kuteketezwa ni kina Musa ambao mnadai ni ndugu zenu katika Imaan.
 
Hakika huyu mzee ndiye aliyefanya mageuzi makubwa ya kidemokrasia na kiuchumi hapa nchini.mungu ailaze roho ya mzee ruksa mahali pema pepon.amina.
 
Mbona mnamtolea fungu la kumi,Hana hela!?..mnamsaidia kuhubiri badala ahubiri mwenyewe huko tumsikie,au ni kibogoyo!?..Mara anataka sadaka ya kuteketeza,anapenda nyama choma na Hana wanyama!?
Sasa nyie hamtoi fungua la kumi? Hivi unaelewa maana ya zaka? Hiyo ya kutekezwa Haina nguvu kwa sisi majirani zenu.... Kafara ya msalaba ina nguvu sana na inatosha.... Kuhubiri ni majukumu yetu, hatupendi nyie mpotee... Ndio maana tunawahubiria... Ila hatuwalazimishi kwa kuwapiga mabomu na kuwateka... Tunawafunulia kweli mkiikataa basi tunawaacha itajulikana baada ya maisha ya duniani kufika kikomo
 
Aisee nakumbuka aliuza Loliondo na mwandishi mchunguz wa habari hiyo aliitwa Katabaro, akauliwa. Sijui huyu mzee alitubu? Halafu kwa, kuwa amekufa mnamuita, Rais Bora. Kabla hajafa alikuwa sio mstaafu Bora.
Kuna Mwarabu mmoja alikuwa akitembeza bahasha mjini kama hana akili.

Huyo mwarabu alishafukuzwa kwa tabia zake za rushwa lakini alijipenyeza tena wakati wa mzee ruksa.

Akaachiwa tu, na inavyosemekana kwa maagiza ya kutoka juu?



Walichukuliwa viongozi kupelekwa kule misituni wachague na vitalo vyao kuwinda na kulishwa nyati mpaka wakalegea-huyo mkulu alikuwa akiyajua yanayoendelea?

Huo ndio ulikuwa mwanzo.

Sasa baada ya Mama Sitti kuchukua usukani wa maamuzi ya Kibiashara(inavyosemekana) the rest is history.

Wamasai wanaangamizwa na wanateseka sana.

Wametiwa Umasikini wa kutupwa.

Apunguziwe mateso kaburini.
 
Tatizo Hawa ndg zetu wakipewa nchi wanawakabidhi wake zao ukishangaa ya mama siti na dhahabu utastaajabu ya mama Salma na bandari
Ahaaaa mkuu!!Nimekupata vyema. Hata Kikwete akipumzika Leo, (siombei) tutaambiwa ni Rais Bora. Naona uchawa sasa umeamia kwa marehemu.
 
Tunamdai Loliondo, alimuuzia mwarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…