MWINYI ZAHERA ACHA KULALAMIKA SANA UKIFUNGWA KUBALI MATOKEO

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Wakuu Habari

Jana timu ya taifa DRC ilishuka dimbani dhidi ya Uganda nakuambulia kipigo cha 2-0

Sasa alipoulizwa kwann kapoteza game ile akaanza lawama Kama Kawaida yake eti CAF waliwapeleka kuchukua vpimo hospital wachezaji toka saa mbili asbh had tano usiku hivyo ilipelekea kupoteza mchezo

Lakn ukiangalia katka mchezo ule utaona kabisa Uganda waliwashika vzuri DRC

Ushauri wangu ZAHERA MWINYI awe ana kubali tu matokeo maana Hali halisi inaonekana wazi uwanjan
 
Alikuambia kuwa nae ni Member wa JamiiForums kwahiyo ulichokiandika hapa atakipata / atakisoma?
 
Je alichoongea ni cha kweli au ni uongo?
 
Huyu jamaa amezidi kulalamika aisee,Unapozidiwa kimchezo ni jambo la kiungwana sana kukubali matokeo kuliko kutafuta sababu!
 
Hao Uganda wana viporo vingapi? 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom