Mwinyi Zahera:Ajibu na Yondani hawana nidhamu sitowachezesha nitawapa confidence vijana

Mwinyi Zahera:Ajibu na Yondani hawana nidhamu sitowachezesha nitawapa confidence vijana

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
"Mchezaji anayefanya mazoezi na kuhudhuria program za mwalimu ndiye ninayempanga.Kila siku usiku kocha wa mazoezi ananipatia list ya wachezaji waliohuzuria mazoezi na wasio huzuria katika siku 14 Ibrahim ajib amefanya mazoezi mara nne na kwenye mechi 3 za kirafiki 2 kati yake ibrahim ajib hakuonekana.

"Hata alivyokuja nikasema siwezi kumchezesha mchezaji asiyefanya mazoezi

"Napenda nifungwe na nishinde na wachezaji wenye descipline

"Tumecheza mechi karibia tatu bila Ajibu pia tumecheza mechi mbili bila Yondani na tulifanya vizuri najua ni wachezaji wazuri na wakubwa lakini siwezi kuwatumia nitawapa confidence vijana wangu vchwa ngumu na ndio nitakao watumia na kamwe siwezi kuwachezesha kwangu mimi napenda nifungwe,nishindwe na wachezaji wanaofanya mazoezi kila siku.
 
Hana ubavu huo. Ngoja wafungwe au kudroo mechi 2 bila hao wachezaji uone atakavyogeukwa. Hawajui migongo wazi. Mechi zijazo watacheza tu atake asitake.
 
anatafuta sababu za kuwaleta yanga akina 'kindoki' kwenye dirisha dogo la usajili, wee wachezaji hawaja lipwa mishahara kwa miezi 5 alafu wanyamaze? tena tena huyuu mkongoo na yeye siku zake zinahesabika, kwanza alimkataa chirwa bila sababu za msingi!
 
VP Wote wangegoma
 
Sasa hivi tayari wamekuwa watovu wa nidhamu kwa kugoma ili wafikiriwe haki yao
 
Kwa kweli inasikitisha mno kwa wachezaji wetu. Hawa wanaona kuzichezea Yanga na Simba ndo kufikia kiwango cha dunia cha soka!!!!! Sioni hata chembe kumlaumu Amunike kwa matokeo ya Lesotho.
 
Back
Top Bottom