Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
12m kwa mwezi mkuuKwa mwezi bei gani makadirio?
Kocha wa kiwango cha chini. Akifika Desemba najipiga ban mwezi mzima.Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ajiunga na Timu ya Soka ya Coastal Union ya Tanga.
Pamoja na kutokuwa na misimu mizuri kwa timu mbalimbali alizohudumu nchini lakini bado Kocha huyo ana bahati nzuri na mpira wa Tanzania.