Mwinyi Zahera ajiunga na Timu ya Soka ya Coastal Union ya Tanga

Mwinyi Zahera ajiunga na Timu ya Soka ya Coastal Union ya Tanga

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ajiunga na Timu ya Soka ya Coastal Union ya Tanga.

Pamoja na kutokuwa na misimu mizuri kwa timu mbalimbali alizohudumu nchini lakini bado Kocha huyo ana bahati nzuri na mpira wa Tanzania.
 
Wakongoman wana bahati ya kukubalika Tanzania...
 
Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ajiunga na Timu ya Soka ya Coastal Union ya Tanga.

Pamoja na kutokuwa na misimu mizuri kwa timu mbalimbali alizohudumu nchini lakini bado Kocha huyo ana bahati nzuri na mpira wa Tanzania.
Kocha wa kiwango cha chini. Akifika Desemba najipiga ban mwezi mzima.
 
Makocha Wanaopitia Yanga Wengi huwa Wanambwela Mbwela tu....!

Usijeshangaa Nabi Kaenda IHEFU...!

Ila Makocha Wanaopitia Lunyasi Utasikia Yupo Wydad Casablanca , Madrid, Manchester au Barcelona...!

Hii ni research ya Kiintelijinsia , isipingwe tafadhari..
 
Yanga tumepitia magumu sana, eti huyu Mwinyi Zahera naye alikuwa kocha wetu mkuu tukitalajia makubwa kabisa, halafu straiker wetu Molinga.😀😀
 
Kwahiyo Mzee waa Jinsi anarudishwa tena Msimbazi au Costal itakuwa na makocha wawili kwa sasa?
 
Back
Top Bottom