Mwinyi Zahera akimbia njaa na ujanja-ujanja wa viongozi

Mwinyi Zahera akimbia njaa na ujanja-ujanja wa viongozi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Hali imeendelea kuwa tete Yanga baada ya kocha wao kutimkia Ufaransa.
Pamoja na Yanga kutaka kuwa amekwenda kwenye matibabu,taarifa za ndani zinaonyesha Mwinyi kakimbia njaa. Club ya Yanga imekumbwa na njaa kuliko wakati wowote na kushindwa kabisa kifanya isajiri katika dirisha dogo.

Yanga imeshindwa kukidhi mapendekezo ya kocha kusajiri ikiwa ni dakikw za mwisho. Yanga imeshindwa kulipa ada za usajiri wa vifaa vitatu bila kumuweka wazi kocha.
 
Zahera kupitia clip iliyowekwa kwenye ukurasa wa Azam kule FB kasema anaenda Ufaransa kusaini document za biashara zake na atarudi kabla ya tarehe 26 mwezi huu. Sasa kati ya Zahera na wewe tumuamini nani?!
 
Kikosi kilichopo kinaongoza ligi...hawajapoteza Mechi...kesho mkipanga wakina Salamba mnakufa Taifa na KMC ...
 
Sasa tatizo my self namwamini mhusika lakini kumbuka kuna sababu kama tatu
1. Zaher mwenyewe kasema anaenda kusaini documents zake za biashara
2. Wenyewe yanga wanasema anaenda matibabu ufaransa
3. Wenyewe tena wanasema anaenda kwenye kesi
Yangu macho mm siweki sitaki niwe wa nne
 
Zahera kupitia clip iliyowekwa kwenye ukurasa wa Azam kule FB kasema anaenda Ufaransa kusaini document za biashara zake na atarudi kabla ya tarehe 26 mwezi huu. Sasa kati ya Zahera na wewe tumuamini nani?!
hii kauli iliwahi kuwa na mfanano na kocha Fulani toka zambia wakati ana taaka kurejeea kwao
 
Mbona timu inasafiri mikoani na inashinda na inaongoza ligi,kalieni hayohayo wakati hilo ni pigo la kisaikolojia kwa timu inazokutana nazo eti ohh ngoja ywafunge wana njaa hao ,sasa ndipo yanga hugeuka kuwa mbogo na kuondoka na point zote,kumbuka ile ya Ajibu kutoa mpira nje ya uwanja mechi ya watani.VITA YA KISAIKOLOJIA NI MBAYA UJUE
 
Wañaongoza ligi pia hawåjapoteza mchezo hata mmoja,wanafuņga magöli mazuri mazuri
 
Zahera kupitia clip iliyowekwa kwenye ukurasa wa Azam kule FB kasema anaenda Ufaransa kusaini document za biashara zake na atarudi kabla ya tarehe 26 mwezi huu. Sasa kati ya Zahera na wewe tumuamini nani?!
Na mimi sielewi tumuamini nani?
 
Back
Top Bottom