OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Zahera kupitia clip iliyowekwa kwenye ukurasa wa Azam kasema anaenda Ufaransa kusaini document za biashara zake na atarudi kabla ya tarehe 26 mwezi huu. Sasa kati ya Zahera na wewe tumuamini nani?!
Anasemaaa njaaa mitaa ya chura churaniiiiTulia kwanza chini.
Unasema?
hii kauli iliwahi kuwa na mfanano na kocha Fulani toka zambia wakati ana taaka kurejeea kwaoZahera kupitia clip iliyowekwa kwenye ukurasa wa Azam kule FB kasema anaenda Ufaransa kusaini document za biashara zake na atarudi kabla ya tarehe 26 mwezi huu. Sasa kati ya Zahera na wewe tumuamini nani?!
Na mimi sielewi tumuamini nani?Zahera kupitia clip iliyowekwa kwenye ukurasa wa Azam kule FB kasema anaenda Ufaransa kusaini document za biashara zake na atarudi kabla ya tarehe 26 mwezi huu. Sasa kati ya Zahera na wewe tumuamini nani?!
Zahera anarudi tar 26/12/2018Na mimi sielewi tumuamini nani?