Mwinyi Zahera akimbia njaa na ujanja-ujanja wa viongozi

Kikosi kilichopo kinaongoza ligi...hawajapoteza Mechi...kesho mkipanga wakina Salamba mnakufa Taifa na KMC ...
Tumewapanga kina salamba hao unaowabeza na shughuli yake umeiona, anyway tumepoteza dhidi ya KMC jana mkuu.
 
Mnamsema Beno Kakolanya kahongwa na Simba,kwa fitna za watani wa jadi inawezekana Simba wamemkatia mshiko Zahera na kumwambia "mzee kula maisha bila kazi achana na vyura"
 
Wakati mwingine uwa najiuliza hv kiuchumi tungekuwa na pesa kama simba alafu kikosi kipana kama chenu nadhani ata barcelona wangekalishwa pale kwa mchina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…