kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,521
- 2,747
Tumewapanga kina salamba hao unaowabeza na shughuli yake umeiona, anyway tumepoteza dhidi ya KMC jana mkuu.Kikosi kilichopo kinaongoza ligi...hawajapoteza Mechi...kesho mkipanga wakina Salamba mnakufa Taifa na KMC ...