Mwinyi Zahera amkataa Kakolanya Yanga

Hamna ubavu wa kumkataa Kakolanya. Ukiwa chongo huwezi kuringia jicho moja. Kama mnabisha Kakolanya atacheza Yanga.Ni muda wa kusubiri tu.
 
Unayosema ni kweli japo umemkandia Beno tu... vp kuhusu timu kutolipa wachezaji wake stahiki zake?.., Unawaambiaje hao viongozi na timu kwa ujumla.
 
Unayosema ni kweli japo umemkandia Beno tu... vp kuhusu timu kutolipa wachezaji wake stahiki zake?.., Unawaambiaje hao viongozi na timu kwa ujumla.

Kwa viongozi nako kuna matatizo makubwa...nadhani uongozi huu una matatizo kuhusu uongozi..hawana weledi..baadhi ni wapenda sifa...ni dhaifu baadhi yao..ndiyo maana Zahera anajitokeza kuwa kama msemaji wa klabu...Zahera yuko sahihi lakini kwa politics za mpira wa nchi hii, ni lazima litatokea tatizo kama ilivyokuwa kwa Tambwe Leya...kocha anapata umaarufu kuliko viongozi...ni lazima wapo viongozi wanaona wivu kuhusu kuongezeka kwa umaarufu wa Zahera..viongozi hao wangependa wao ndio watambuliwe kuwa wana mchango mkubwa wa ushindi wa timu kwa sasa na si saikolojia ya Zahera kwa wachezaji...niliwahi kumsikia kiongozi mmoja dogo akisema 'mimi nasajili kwa umakini' baadala ya kusema 'sisi' Yanga tunasajili kwa umakini yeye anasema 'mimi' nasajili kwa umakini...yaani kiongozi huyo 'dogo' bado ni mchanga kwa uongozi, anatanguliza sifa kwake binafsi baadala ya klabu ...tubiri tuone lakini uongozi wa sasa wa Yanga ni dhaifu mno na hauna mipango mizuri kuweka mambo sawa kwa wachezaji na hasa kuhusu malipo...Mimi naamini mafanikio ya sasa ya yanga uwanjani yanatokana na mchango mkubwa wa wanachama na wapenzi sehemu mbalimbali nchini...naamini baadhi yao wanatoa michango yao kimya kimya kwa timu kwa masuala ya usafiri wa ndege na malazi huko mikoani...kumbuka Yanga ni klabu ya 'wananchi'..
 
Hamna ubavu wa kumkataa Beno Kakolanya.
 
Taja timu moja hapa bongo ambayo timu ikifanya vizuri wanakuunga mkono na ikianza kufanya vibaya wanakuunga mkono?!
 
Ndiyo imeishakuwa sasa. Kumbuka Yanga hata timu nzima ikimisbehave tunapiga wrote chini, tunaanza upya
Mkimuacha Beno nitaamini unayoyasema.
Nikuambie itakuwa hivi. Utasikia Yanga na Beno wamefikia makubaliano. Hamna ubavu huo. Mark my words. Rudi hapa baada ya masaa 2 hadi 3 ubadili mtazamo wako.
 
Zahera ana mishahara miwili.. CONGO na YANGA na wala hadai analipwa
Angetulia au kumsaidia BENO si hasira.
 
Sina tatizo na Beno kutokurudi Yanga shida je Nani anaziba nafasi yake?
Unaleta kiburi wakati njaa inauma na msosi unauona
Unatomaswa makalio na wewe unasema hewala bwana nisije kufa njaa? Nimeupenda msimamo wa kocha hata kama atatoa mcgezaji uwanjani aende akadake ni sawa. Yanga ni zaidi ya mchezaji mmoja!
 
Amsaidie vipi msaliti!!!???
Msaliti tena... kumbe amekiuka makubaliano.?
vp Beno angekuwa ni baba yako au kaka anacheza yanga halafu hana kitu mfukoni, daily anakwambia hana kitu.
Mbona haki ya mchezaji unaikwepa au hujui ile ni kazi
 
Unatomaswa makalio na wewe unasema hewala bwana nisije kufa njaa? Nimeupenda msimamo wa kocha hata kama atatoa mcgezaji uwanjani aende akadake ni sawa. Yanga ni zaidi ya mchezaji mmoja!
Ni kweli Yanga ni zaidi ya Beno ila ujue mpira ni maisha yake.
Wewe uko kwako wanao wanakula kutokana na jasho lako ila jasho la beno unaona halina maana sio.
 
Msaliti tena... kumbe amekiuka makubaliano.?
vp Beno angekuwa ni baba yako au kaka anacheza yanga halafu hana kitu mfukoni, daily anakwambia hana kitu.
Mbona haki ya mchezaji unaikwepa au hujui ile ni kazi

Acha kuleta utetezi usio na mantiki kwenye hoja ya msingi...hoja iliyopo ni kuwa Kakolanya amegoma kucheza kwa kudhani kuwa anaikomoa Yanga kwa kuwa yeye (kwa mawazo yake ni kipa bora) na kwamba bila yeye, yanga itafungwa...Ni msaliti mkubwa...siyo yeye tu anayedai fedha Yanga...wapo wengine wanadai lakini wameamua waitumikie klabu katika mazingira hayo...Yeye hataki na ameshawishiwa agome...Yaani watu wapo vitani askari mmoja kwa kuwa hajalipwa fedha anaamua kugoma kwenda mstari wa mbele ...askari kama huyo anapelekwa court marshal na ikibidi anapigwa risasi...Beno 'anapigwa risasi; kwa kuondolewa kwenye timu...Acha kuleta mifano ya baba na au kaka kwenye hoja za msingi...msaliti ni msaliti tu...Mfanyakazi hajalipwa madai yake hawezi kuacha kwenda kazini...Na mtu makini hawezi kumruhusu Beno arudi kambini kwani ataleta mgawanyiko kwenye timu, na inawezekana wakaamua kucheza chini ya kiwango ili Beno afungwe...Upo mwaka Yanga ilimsajili Elisha John kutoka Coastal Union, baadhi ya viongozi wakamlipa fedha nyingi...wachezaji wengine wakazira wakawa wanampa pasi yeye ili afunge ..Elisha John alikaa mwezi mmoja na nusu hapo Yanga na akaondoka katika mazingira hayo...
 
Vyura kwa kushabikia ujinga. Nilisema hakuna wa kuweza kumtoa Beno Kakolanya Yanga.
Watu wazima wamekula matapishi yao
Kocha Zahera amelazimishwa kuendelea nae.Sasa sijui mtasemaje?
Ohh msaliti!!
 
Hoja ya msingi alipwe fedha zake.. Hadi za usajil anawadai
 
Nilisema hawana ubavu. Beno amerudi YeboYebo na ujinga wa kufuata mkumbo kumuita msaliti itabidi waufyate na kula matapishi yao.
Hamna cha Zuhura wala usaliti.
Och wamtafutie timu hamna lolote.Upayukaji at its best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…